long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
eka huo mkeka hapa ..tuuoneNdugu wanajamvi leo nimebet na nimefanikiwa kushinda Tsh milioni saba laki nane na elfu sitini na tano timu za mapema ambazo hata sizijui ,Ushauri ndugu zangu tubet mpaka tuwafilisi hawa wahindi na wazungu Mimi nimeanza kubet nina wiki ya tatu ninaona hiii biashara inalipa kwa sababu sijapoteza zaidi ya kuongeza Nawasihi sana ambae mtu anawasiwasi na team anipm ntamshauri kuwa timu hiyo itashinda au la kuliko kukaa anacheza puli .Hela zipo vijana achani Kuala.
Nasema tena mwenye uhitaji wa ushauri juuu ya team ambayo itashinda ani pm ntamsaidia tena bureeeee Mimi kila siku kwa taarifa yenu nawala meridian mpaka niliona watanijua Leo nabet Fire ,kesho Tabata,Magomeni nk na sehem zote napiga milioni mbili na zaidi nimeshindwa kuficha siri hiiii.
Karibuni wana JF wenzangu msife njaaa kaka yenu wakuwashauri nipo.
Aksanteeee cheers to bet.
inawezekana nyie wadau mnaobisha acheni msiyoyajua sisi tuna bet daily na ushahid upo watj wanakula pesa bana[/QUOTENashukuru kk kwakua umenielewa hata wewe
Naku pm. Kila mkeka utakao kuwa una bet wewe, utanitumia ili nicopy. Ama vipi mkuuKaka usihangaike kutafuta pesa bet mimi napiga hela sana masela you can immagine nimeanza kubet three weeks ago but up to now nina Tsh million 45 nilianza kwa mtaji wa buku tano
Wewe ni Mwanamke mtu wa kuhongwa sitaki kuongea na wwMaskini kuna watu wanapenda mdebwedo ehh. Kazi ipo. Fanya kazi kijana achana na kudanganya wenzio. Inawezekana hata huna ulichopata.
Hahah. Si bora ninayehongwa hadi na baba yako kuliko unayesubiri mdebwedo.Wewe ni Mwanamke mtu wa kuhongwa sitaki kuongea na ww
Kumbe unapenda kuukalia eeeeeee ni pm nikupe mambo cute BHahah. Si bora ninayehongwa hadi na baba yako kuliko unayesubiri mdebwedo.
Si milioni saba tu Mimi daily nakula pesaHivi mtoa mada kupata millioni 7 ndo unajiona umetoka kimaisha???? kweliiiiiii????
Hapa nndo ulipoharibu!Kaka usihangaike kutafuta pesa bet mimi napiga hela sana masela you can immagine nimeanza kubet three weeks ago but up to now nina Tsh million 45 nilianza kwa mtaji wa buku tano
si uweke hiyo mikeka hapa tuoneSi milioni saba tu Mimi daily nakula pesa
Bet mkuuuu ukipata shida ni pm ntakuelekeza vzrHapa nndo ulipoharibu!
Nakalia ya baba yako sio wewe unayependa mdebwedo. Baba yako si analima kwa nguvu zake?. Weww nwenzangu siku nyingine utaombwa na wewe kwa kupenda kitonga.Kumbe unapenda kuukalia eeeeeee ni pm nikupe mambo cute B
Na kwa kupenda huko mteremko utaikalia kama mie. Ila bora mie ni ya mtu anayejituma.Nakalia ya baba yako sio wewe unayependa mdebwedo. Baba yako si analima kwa nguvu zake?. Weww nwenzangu siku nyingine utaombwa na wewe kwa kupenda kitonga.