Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Wewe bet, then weka mkeka wako hapa jnsi ulvyobet, na matokeo yake baadae tuwekee. Nukta
 
Cute B huenda wanao kugegeda wanakuhonga hela za kubet unazozikashifu Ila sawa ukikua utaaacha.
Kwani na dingi yako anabet?. Tobaaaa. Simtaki tena. Achukue time. Poa dogo kaza msuli utafika tu.
 
Ni ushawishi mzuri wenye kukutesa kihisia, wakati wote wewe utakuwa MTUMWA WA KUBET/MTUMWA WA HAO WAHINDI.

Endapo ni kwel umepata hizo Mil. 7 Usipokuwa mwangalifu, Kwa ulevi wa Kubet hio shekeli zitawarudia hao Wahindi zote.

Hutakuwa na kumbukumbu hata ya Nyama choma wala Uwanja wa 20 kwa 20.

Nakushauri hizo fedha weka kumbukumbu ya Maana kisha Tshs 100, 000/= [LAKI MOJA TU] Zilizobaki hizo ndio uzitumie kwenye ULEVI WA KUBET.
 
As ante kwa ushauri kaka
 
Jamaa anaambiwa weka mkeka anarukaruka tu. Tupia watu waone km vp lipia tangazo la biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…