Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Cute B huenda wanao kugegeda wanakuhonga hela za kubet unazozikashifu Ila sawa ukikua utaaacha.
Mkuu, Usibishane nao....Asiyejua maana, Haambiwi maana....Mimi naamini, kwa sababu hata mimi nashindaga...ingawaje ni kiasi kidogo kidogo (30,000/=, 8000/= ,20,000/= etc)
 
Mkuu, Hongera sana aisee....Mi naomba unitengenezee Mkeka wa Timu za Leo....Timu Tano za Uhakika.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA UTAYARI WAKO WA KUSAIDIA VIJANA WENZIO.
Ucjr mkuuu ni pm ntakusaidia
 
Huo ni uongo. Huwezi kuweka 5k ukapata 45m. Hata kwa jackpot kibongo bongo haifiki 40m. Kamdanganye mkeo
 
Mkuu mimi naomba nitabirie mechi za leo mf Benfica, Dijon, Braga nk nitajie hata tatu au nne zitakazoshinda leo maana kila siku naliwa
 


Hata usiwashawishi watu kwenye hayo mambo ya kamari ni bahati tuh endelea kubet utairudisha hiyo mil7 kwao na utawapa faida
 
mkuu hongera sana. unaweza kuweka hapa huo mkeka tuuone ili utuhamasishe?
 
Mkuuu suala nikuniomba ushauri timu gani unaona zitashinda mimi ntakushauri zipi ondoa zipi weka na hakika utafanikiwa na utakuja kutoa ushuhuda Hapa.
mkuu leo nawapa ushindi benfica, spurs na braga. niondoe timu ipi hapa nipige hela mkuu?
 
Mkuu hata mimi j mosi nilipiga milioni 12 najenga sasa hivi
 
Tuwekee japo ka mkeka ka buku tano ulikokula unishawishi mana kuliwa nimechoka mkomboz umepatikana
 
Mkuuu suala nikuniomba ushauri timu gani unaona zitashinda mimi ntakushauri zipi ondoa zipi weka na hakika utafanikiwa na utakuja kutoa ushuhuda Hapa
Asee me niinbox za leo tule wote mpunga huo
 
Nitafute kesho nikwambie timu za kubeti upige ela mkuu
 
Hii mkeka bet kama siyo ya rugee ni bahati
 
Jamani nitamfilisi mhindi Leo nimepokea milioni 40 za mhindi. Kweli huku mwaka wngu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…