YphNet
Member
- Sep 3, 2022
- 63
- 107
- Thread starter
- #21
Kwenye two players board games opponent wa binadamu pia simply anaitwa AI haijalishi umetumia machine learning au kitu gani. Nimetumia hilo neno pale nilipomaanisha opponent wa binadamu au labda unataka niite game engine au logic kama unavyotaka labda uridhike. Sijatumia external library yoyote kuanzia kwenye graphics wala hiyo AI ambayo wewe hutaki iitwe hivyo ndo maana game ni dogo about 260 KBs tu. So ni maamuzi yako wengine wanaandika Human vs CPU, wengine Human vs AI wengine Human vs Engine wengine hata wanaandika Human vs Robot. So kuwa mpole aisee, there's nothing special here. AI mkuu inaanzia kwenye hizo logics labda ukiingia deep kwenye machine learning ndo utadeal na mambo ya training model ambako mimi siko huko. Kwahiyo mheshimiwa neno AI wala lisikutishe kiihivyo aisee bcoz lina level zake za utashi kuanzia kwenye hizi logics za kipuuzi hadi huko kwenye ML.Mbona karibia kila comment umeandika sijui umetuma AI. Umetumia tumia PL gani ku develop ilo game?, AI umetumia library gani?, model iyo ya sijui AI ume code from scratch?. data umetoa wapi ka kutrain iyo model? Accuracy yake ni percentage ngapi?
Na mashaka na iyo sijui AI umeitumia kwenye ilo gama. Hmna cha AI wala nini lbd lumetumia logic condition ku code ndo unaziita AI (naomba lnk ya git nika one algorithm za iyo model)