Mchezo wa Bao kupitia AI (Artificial Intelligence)

Mchezo wa Bao kupitia AI (Artificial Intelligence)

Mbona karibia kila comment umeandika sijui umetuma AI. Umetumia tumia PL gani ku develop ilo game?, AI umetumia library gani?, model iyo ya sijui AI ume code from scratch?. data umetoa wapi ka kutrain iyo model? Accuracy yake ni percentage ngapi?

Na mashaka na iyo sijui AI umeitumia kwenye ilo gama. Hmna cha AI wala nini lbd lumetumia logic condition ku code ndo unaziita AI (naomba lnk ya git nika one algorithm za iyo model)
Kwenye two players board games opponent wa binadamu pia simply anaitwa AI haijalishi umetumia machine learning au kitu gani. Nimetumia hilo neno pale nilipomaanisha opponent wa binadamu au labda unataka niite game engine au logic kama unavyotaka labda uridhike. Sijatumia external library yoyote kuanzia kwenye graphics wala hiyo AI ambayo wewe hutaki iitwe hivyo ndo maana game ni dogo about 260 KBs tu. So ni maamuzi yako wengine wanaandika Human vs CPU, wengine Human vs AI wengine Human vs Engine wengine hata wanaandika Human vs Robot. So kuwa mpole aisee, there's nothing special here. AI mkuu inaanzia kwenye hizo logics labda ukiingia deep kwenye machine learning ndo utadeal na mambo ya training model ambako mimi siko huko. Kwahiyo mheshimiwa neno AI wala lisikutishe kiihivyo aisee bcoz lina level zake za utashi kuanzia kwenye hizi logics za kipuuzi hadi huko kwenye ML.
 
Ni kweli. But kipengele cha AI (Artificial Intelligence) ndo kigumu zaidi ambacho nastruggle nacho kwanza. Draft zuri zaidi ni Dalmax kwa maana level ya AI. By the way thanks.
Dalmax lina 1 million downloads na hilo Checkers lina 100 million downloads, nadhani hiyo inatosha kuonyesha game lipi lina best Artificial Intelligence.
Hilo game Checkers lina strategy na mitego mikali zaidi ya binadamu na hiyo ni beginner level.
 
Na ndo nilichokisema, mimi nalielewa vizuri tena kabla hata hawajaweka hiyo Tz rules. Hata hivyo still halijawa completely solved. Bado linafungika at 100% japo kwa mbinde mno.
 
Dalmax lina 1 million downloads na hilo Checkers lina 100 million downloads, nadhani hiyo inatosha kuonyesha game lipi lina best Artificial Intelligence.
Hilo game Checkers lina strategy na mitego mikali zaidi ya binadamu na hiyo ni beginner level.
Lakini pia number of downloads inategemea na app unavyoipromote, kuna namna ya kuiboost ili waione wengi, unalipia.
 
Ok nishaelewa. Game limedizainiwa kwamba ukishachukua kete moja nje (kunamua) unabonyeza chumba utakacho weka kete kisha chumba cha kwanza unachoanzia kusambaza (kichwa). Baada ya hapo hubonyezi chumba chochote mpaka sehemu ya kula ikifika. Kitendo cha kusambaza kete kinafanyika automatically for you kulingana na kichwa ulichoanzia. Ukisha chagua kichwa cha kuanzia linaendelea lenyewe automatically hakuna haja ya kubonyeza kila chumba.
Angalia kwenye vidoti hapo ndio utajua kete zingine zimeenda wapi?? Nieelezee hiyo inakujaje kwenye machine.
Screenshot_20220928-211407_1.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20220927-200203.jpg
    Screenshot_20220927-200203.jpg
    28.4 KB · Views: 6
Angalia kwenye vidoti hapo ndio utajua kete zingine zimeenda wapi?? Nieelezee hiyo inakujaje kwenye machine. View attachment 2370995

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Angalia kwenye vidoti hapo ndio utajua kete zingine zimeenda wapi?? Nieelezee hiyo inakujaje kwenye machine. View attachment 2370995

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ok natambua seriously kwamba hili ni tatizo na haitakiwi itokee hivyo. Nafikiria namna ya kufanya lisitokee permanently kwenye toleo zijazo. Lakini kabla sijafuatilia kuweka toleo lingine coz muda umenibana jaribu kufuata hatua zifuatazo za awali kwa toleo lililopo sasa kabla sijapata ufumbuzi.
1. Usi "UNDO" wakati kusambaza kunaendelea subiri mpaka kwenye kulala.
2. Kwenye kunamua: bonyeza ghala, kisha chumba unachoweka kete uliyotoa kwenye ghala, kisha kichwa utakachoanzia, baada ya hapo usibonyeze chumba chochote acha lisambaze kete lenyewe mpaka kama likifika sehemu ya kula ubonyeze tena kichwa utakachoanzia.
3. Kwenye kutakata: bonyeza ghala, kisha chumba utakachoweka kete uliyotoa kwenye ghala, kisha chumba cha jirani na chumba ulichoweka kete then hapa app itasambaza yenyewe kete kuelekea upande kulingana na chumba cha jirani ulichochagua, usibonyeze chumba chochote baada ya hapo.

Lakini kabla ya update, nitatengeneza PDF guide document la Kiswahili litakalo onyesha jinsi ya kutumia BaoTz app properly. Mimi hainitokeagi hivyo mpaka mwisho ndo maana naamini kuna sehemu flani panatatiza kwenye matumizi.
 
Hiki ni kitabu kidogo (katika PDF) cha Kiswahili ambacho kimeelezea jinsi ya kutumia BaoTz app kucheza game la bao. Nimeattach hapa:
 
Attachments

Back
Top Bottom