Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
kisheria ni lazima.king sio lazima ivalishwe kwa juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kisheria ni lazima.king sio lazima ivalishwe kwa juu
sio lazima, sheria ya drafti sio kucheza na visodakisheria ni lazima.
basi hujui drafti na sheria zake. king lazima awe crowned. huwa tunarahisisha tu kwa kufunua vizibo.sio lazima, sheria ya drafti sio kucheza na visoda
OKbasi hujui drafti na sheria zake. king lazima awe crowned. huwa tunarahisisha tu kwa kufunua vizibo.
uwezekano upo mzee na huku hatutumii visoda
nitalifanyia kaziinatokea sometime unakua hujale kete hata moja
Kama ni force kingi lazima mpinzani ale kete ili aweze kuingia kingi na wewe uiue kingi yakehapo jibu ni moja ikitokea umeingia king na mpinzan wako hana kete ya kukuvisha basi utakua umeshnda game, kwa wale wazoefu watakua wanajua kuna force king watu huwa wanaipiga mwanzo mwanzo wa game mkicheza zile game za kubanana hamjalana kete hata moja basi unamwachia ile force mtu asiejua apige akipiga tu basi akikwambia kula huku unamwambia nivishe kingi kwanza basi anabaki anashangaa tu....so mkuu kama huna kete ya kuvisha king wa mwenzio umefungwa
au kwa kuvibebeshaUnatumia kete za namna gan?, kinachotofautisha king na kete zngne ni kuipa utofauti iyo kete(king) sis tunatumia vzibo vya chupa so king tunaitambua kwa kuifunua kete
Kuna aina za uchezaji mkibanana sana mmoja akaishiwa kete ya kucheza huwa inapelekea kugawa kete na kama ukimpa mpinzan kete zinazomfanya apate king lazma ataingia king bila wewe kua na kete. Possible kuwa na king na mpinzan asiwe na kete ya kuvishaDuu nimekaa Na draft hapa nimeangalia sana lkn haiwezekan mpinzani asile hata 1 kabla ya we kufika kingi maana hutapata njia
Acha kuongopa sasa kama unampa mtu force king kwanini asiwe na kete? Maana ya force king ni kuwa unamlazimisha mpinzani wako ale kete ulizo mtega, kisha wewe unakula kete kadhaa mpaka king. Drafta unajua ama unasikia watu wakisimulia tu? Mi binafsi ni mchezaji mahili, uliza tukujibu sio unadanganya watu hapa, kwanza katika draft haiwezekani ule kete mpaka king bila mpizani kula kete, kwa sababu unaoita katika vyumba ambavyo lazima nae atakula.uhalisia wa aje unautaka mcheza draft mahiri pia mimi mwenyewe shakutana nayo hipo inatokea zaid kwa kupitia force king
Ikitokea mmebanana sio kuwa kuna mmoja anaweza kuingia king, ila ni kywa mwenye zamu ya mwisho kucheza ndio atashindwa pakusukuma, kwa hiyo kitakachotokea ni kuwa anayekosa pakucheza atakuwa kafungwa kitu kinaitwa super(gori12) kwa mchezo mmoja kwa kuwa unamfunga wakati hakuna mmoja wenu alofika king.Kuna aina za uchezaji mkibanana sana mmoja akaishiwa kete ya kucheza huwa inapelekea kugawa kete na kama ukimpa mpinzan kete zinazomfanya apate king lazma ataingia king bila wewe kua na kete. Possible kuwa na king na mpinzan asiwe na kete ya kuvisha
Awali nilkuwaga sijui kuhusu hiyo sheria, nilmpiga mpinzani wangu fosi kingi ya maana wakati sote tukiwa na kete zote kumi na mbili kwa sababu sikuwa nimekula kete yake hata moja nikakosa ya kumvalisha kingi yake mpinzani akagoma kuendelea na mchezo akidai king yake itambuliwe na mchezo ukaishia apo! Kwa maana hiyo mpinzani wako akifika king ba we hujala kete yake hata moja anakuwa ameshinda kwa sheria za mchezo wa draft
ngoma iko hivi yeye anakupiga wewe force kukupeleka king, wewe utakula wakahuo yeye hajala kete hata moja, sasa ile king iliyo ingia anahitaji kuiua ili na yeye apate king! anakosa kete ya kukuvisha zoezi lake linakua limeshindikana. wewe umesema mtaalam lakin nashangaa unavyosema haiwezekan na wala sidanganyi.Acha kuongopa sasa kama unampa mtu force king kwanini asiwe na kete? Maana ya force king ni kuwa unamlazimisha mpinzani wako ale kete ulizo mtega, kisha wewe unakula kete kadhaa mpaka king. Drafta unajua ama unasikia watu wakisimulia tu? Mi binafsi ni mchezaji mahili, uliza tukujibu sio unadanganya watu hapa, kwanza katika draft haiwezekani ule kete mpaka king bila mpizani kula kete, kwa sababu unaoita katika vyumba ambavyo lazima nae atakula.
Iko hivi Braza,Acha kuongopa sasa kama unampa mtu force king kwanini asiwe na kete? Maana ya force king ni kuwa unamlazimisha mpinzani wako ale kete ulizo mtega, kisha wewe unakula kete kadhaa mpaka king. Drafta unajua ama unasikia watu wakisimulia tu? Mi binafsi ni mchezaji mahili, uliza tukujibu sio unadanganya watu hapa, kwanza katika draft haiwezekani ule kete mpaka king bila mpizani kula kete, kwa sababu unaoita katika vyumba ambavyo lazima nae atakula.
utakua hujawahi ona tu siku ukiona tutakua pamojaHakuna uwezekano wa wewe kufika king bila mpinzani wako kula kete yako hata moja