Mchezo wa kirafiki: Simba 3 VS Kipanga 0

Anazeeka vibaya huyo Mzee

Na huyo mtangazaji anamuuliza Mzee maswali kwa mtindo wa kumpa majibu.
Si ndio icon yenu makolo hii, saa hizi unaisema inazeeka vibaya tena. Haya mkuu.
 
Hongereni,mngefikisha 5 ingekuwa poa sana
1693673759889.png
 
Anazeeka vibaya huyo Mzee

Na huyo mtangazaji anamuuliza Mzee maswali kwa mtindo wa kumpa majibu.
Kakosea wapi sasa? Au hujui Mahmoud Bin Zuberi ni simba lialia? Ila kwa vile ni mhenga hawezi kupingana na matukio ambayo kayashuhudia kwa macho yake?

Hivi mfano ww utakuja kukataa tukio la mayele kupiga goli mbili peke yake mchezo wa ngao ya jamii?
 
Kwanini umechagua mfano wa Mayele na sio Kibu?
 
Vyovyote vile hata ile ya simba 4-1 yanga, ni ngumu sana kwa mtu aliyeshuhudia lile tukio kukataa hata iwe miaka 100 mbele. Ni vitoto tu vitaibuka na kukataa historia hiyo.
 
Unajua utofauti wa miaka ya saizi na miaka ya nyuma unatenganishwa na mstari m maendeleo ya kidigitali.

Kizazi cha miaka ya baadaye itakuwa ni ngumu kupinga rekodi za miaka hii kwasababu rekodi haitamtegemea kumbukumbu za mtu wa miaka hii aje asimulie, wakati anaweza kuingia mtandaoni akashuhudia mechi yote.

Unafikiri kwanini Zakazakazi aliibua mjadala kuhusu wasiwasi wa uhalisia wa ubingwa wa Simba na Yanga?

Aliweka na hoja kuonesha watu wamekuwa wakiamini historia ambayo haipo, wapo waliojitokeza kum challenge lakini aliwapa majibu ambayo nao walikuwa hawayajui.

Unafikiri kwanini Yanga walibisha kuwa Simba haijawahi kufika fainali ya michuano ya CAF??

Katika rekodi za Yanga na Simba kuna rekodi yeyote unayoijua ya Yanga kumfunga Simba goli 9 bila?
 
Watu wanapinga historia kwa utashi wao wenyewe wenye mlengo wa kishabiki.

Historia ya Simba na Yanga imebaki tu vichwani mwa watu esp walioshuhudia na wengine kusimuliwa ukiachana na historia za hivi karibuni kipindi cha kidigitali.

Kuna matukio mengi sana ya simba na Yanga ambayo yamesahaulika either maksudi kwa kupotoshwa au kutowekwa kwenye rekodi au rekodi kutoweka.

Ni imani yangu kua hata hiyo rekodi ya CAF ya simba wanaipinga kishabiki tu hata kama mashindano hayo yamepitia mabadiliko mbalimbali.

Zakazakazi nae anapinga rekodi za simba na Yanga kishabiki tu ukizingatia kuwa mashindano hayo yamekua yakibadilishwa majina mwaka hadi mwaka.
 
Zakazakazi alikuwa na hoja, alitoa sababu kwanini watu wamekuwa wakiamini ndivyo sivyo

Alikuwa yuko documentary hakutoa hoja tu kwa wishfully thinking alikuwa na sababu.
 
Nakuuliza, unakubaliana na hii rekodi?
Tunakubaliana vipi ndugu ilihali hatukuwepo, historia yyte yenye vyanzo zaidi ya kimoja huenda ina kitu.

Labda BBC wana ushahidi either wa magazeti ya enzi hizo au nyaraka yyte.

Hata hivo mwaka 1938 sio mbali kivile maana wazee kama mzee mwinyi nadhani tayari alikua na akili timamu mwenye kukumbuka tukio kama hilo.
 
Back
Top Bottom