Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

Hivi mbona wanakwepa sana kusema ni nini kilisababisha kughairi huu mchezo?

Kwanini hatuambiwi tatizo lilikuwa nini?
Hapo mwisho kama umesoma wamesema serikali ilikuwa na nia njema kusogeza muda wa mpira, Sasa sijui nia yao njema ambayo hawajaisema ni ipi kama inatambulika na kanuni na sheria za FIFA za serikali kutoingilia mambo ya TFF
 
Ok me nimewaelewa hivi maneno matamu matamu..ambao hamjaelewa sijui itakuwaje
 
Ndio mana Manara amewaita takataka. Minafiku. Yaan miandishi na michambuz yetu hovyooo kbsa. Na hii ni kwa kuwa elimu zao ni za chini mno. Ni div 4 na 0. Kama nadanganya hebu mtaje mwenye div ONE / TWO. O- level na A-level
futiboli haihusiani na elimu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…