Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hukumu moja wapo Tanzania inaweza kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa muda na hukumu hiyo itatutia akili sisi Watanzania na itapelekea wadau wa soka nchini kuibadilisha kabisa safu yote ya uongozi pale TFF.Hivi unaweza kutaja mkuu baadhi ya hukumu tunazoweza kupewa na Fifa na namna zitakavyoikomoa Tff?
Mkuu hili ndo suala la msingi,sidhani kama hata mashabiki wana haja kurudishiwa chochote ,kwanza kwa mifumo yetu ni ngumu kumrudishia mtu hela yakeHivi mbona wanakwepa sana kusema ni nini kilisababisha kughairi huu mchezo?
Kwanini hatuambiwi tatizo lilikuwa nini?
Chanzo hakisemwi, lakini kinajulikana, ni siasa, kuuza sura kwenye tv, kuendesha nchi bila kuzingatia sheria. Mtoa maagizo aliona avunje pambano ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu na kupeana zawadi ya gari. Madhara yaliyojitokeza ni makubwa kuliko matarajio ya kisiasa.Wale wapumbavu waliokuwa wanasema serikali HAIUSIKI Na TFF mmeona?.
Chanzo hakisemwi, lakini kinajulikana, ni siasa, kuuza sura kwenye tv, kuendesha nchi bila kuzingatia sheria. Mtoa maagizo aliona avunje pambano ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu na kupeana zawadi ya gari. Madhara yaliyojitokeza ni makubwa kuliko matarajio ya kisiasa.
Tff na bodi ya ligi wanaweza kuwa mbuzi wa kafara, lakini mhusika mkuu ni serikali.Mpira wa bongo una visa.
Eti msimamizi wa soka na vilabu kwa ujumla haelewani na kilabu kimoja kiasi kwamba waziri anaitisha kikao.
Ni matamko mepesi kwa swala zito. Nini sababu?, kasababisha nani?, kuna sheria imevunjwa? Amewajibishwa? Gharama ya kiingilio ni sehemu ndogo ya hasara kwa wahusika, lakini serikali inaona ndio gharama ya msingi. Kuna watu wametumia nauli, malazi nk.Na huyo huyo ndo ametoa tamko.
Mechi ichezwe UPYA.
basi Sawa.
Yanga wanatakiwa wagomee na hyo tarehe mpya
TFF unawaonea bure, hao ni mbuzi wa kafara.Hukumu moja wapo Tanzania inaweza kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa muda na hukumu hiyo itatutia akili sisi Watanzania na itapelekea wadau wa soka nchini kuibadilisha kabisa safu yote ya uongozi pale TFF.
Serikali yetu ni kuvamia kila kitu ila yanga wamewakomeshaSi mlisema serikali HAIUSIKI Na michezo wala TFF?.
Tff hii ambayo viongozi wake wanapigiwa kura na vyama vya mikoa sahau kuhusu mtu kushindwa uchaguziii akiwa pale tff .......labda sijaelewa kuwaondoa kwa njia gani?Hukumu moja wapo Tanzania inaweza kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa muda na hukumu hiyo itatutia akili sisi Watanzania na itapelekea wadau wa soka nchini kuibadilisha kabisa safu yote ya uongozi pale TFF.