Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate tutegemee kuona makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa

Forward za yanga zingekua na ukatili basi azam alikua anakufa goal 5 jana
 
Malalamiko fc...unaacha kutoa tathmini ya mechi ya timu yako ambayo imecheza unakimbilia kwa Simba ambayo haijacheza.
 
Kwani wewe mnyama hakukukanda 2 Kwa Yai??? Ety huyu nae yupo jamii forum duuuh zamani huu mtandao ulikuwa wa maana ila siku hizi hakuna mvuto kabisa??? Kwa sababu ya watu Kama hawa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Bongo raha sana
Simba wakishinda watakuwa wamebebwa
Wakishindwa ni Simba mbovu

Alieanzisha Simba na yanga Ana akili sana

Zilianza tu zenyewe naturally, ilikua kati ya waswahili masikini (Young Africans) na wageni matajiri (wahindi na waarabu wa Kariakoo).

Ndio maana kuna uhusiano kati ya rangi za kijani na njano...

Ila sasa zote ni za matajiri... japo wazee wengi wamebaki Yanga.

Wanasiasa wanafaidika sana kuwapumbaza watu na hizi timu, na wananchi tunafaidika kupunguza ukali wa stress za maisha kwa kuzipa akili kitu mbadala cha kufikiria baada ya kupigika kutwa nzima.
 
Pia marefa wa kike na refa aliyechezesha juzi Simba na power dynamo sio wa kuchezesha mechi zinazohusisha Simba Au yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…