Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Forward za yanga zingekua na ukatili basi azam alikua anakufa goal 5 jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing errorhili jukwaa la michezo matusi ya nini
Malalamiko fc...unaacha kutoa tathmini ya mechi ya timu yako ambayo imecheza unakimbilia kwa Simba ambayo haijacheza.Kutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha Yanga na Azam huku kukiwa na imani kubwa kuwa Yanga atapigwa lakini imekuwa ndivyo sivyo, kipigo kitakatifu kimemkuta Azam Fc.
Limeibuka kundi la wahuni/mashabiki wa Simba sc wanaanza kuilaumu Azam na kuikejeli huku wakisahau kuwa Azam Fc kakutana na bingwa aliyecheza fainali ya shirikikisho, hapo hapo wakasahu kuwa Yanga sc ndiyo bingwa mtetezi wa ngao ya jamii, kombe la Nbcpl na FA.
Kiufupi Azam Fc asilaumiwe kwa kuwa kakutana na Bingwa Hilo halina ubishi na anastahili sifa kwa uwezo aliounesha wa kupunguza magoli.
Achana na Goli la Aziz key, Wala usiulize kuhusu Clement mzize mtoto aliyepata baraka pale ikulu kutoka kwa Mh Raisi Samia suluhu kwa kutambulishwa.
Mchezo wa Singida fountain Gate na Simba leo wachezaji wa Singida watapewa kadi za njano nyingi mpaka kupelekea kadi nyekundu ili mradi tu Simba sc afike fainali.
Nawasilisha hoja.
Tulia hivyo hivyo Kama unanyolewa.Malalamiko fc...unaacha kutoa tathmini ya mechi ya timu yako ambayo imecheza unakimbilia kwa Simba ambayo haijacheza.
Mashabiki Lia Lia Wa mikundu ya msimbazi wanaitaka fainali [emoji38][emoji38][emoji38]
Wanaitaka ila mkundumbela alijivunja ili msikutane na msimbazi lakini azam wakakataa. 😀😀Mashabiki Lia Lia Wa mikundu ya msimbazi wanaitaka fainali 😆😆😆
Ban tena typing error hiyoHope una enjoy ban yako huko uliko
Kwani wewe mnyama hakukukanda 2 Kwa Yai??? Ety huyu nae yupo jamii forum duuuh zamani huu mtandao ulikuwa wa maana ila siku hizi hakuna mvuto kabisa??? Kwa sababu ya watu Kama hawaKutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha Yanga na Azam huku kukiwa na imani kubwa kuwa Yanga atapigwa lakini imekuwa ndivyo sivyo, kipigo kitakatifu kimemkuta Azam Fc.
Limeibuka kundi la wahuni/mashabiki wa Simba sc wanaanza kuilaumu Azam na kuikejeli huku wakisahau kuwa Azam Fc kakutana na bingwa aliyecheza fainali ya shirikikisho, hapo hapo wakasahu kuwa Yanga sc ndiyo bingwa mtetezi wa ngao ya jamii, kombe la Nbcpl na FA.
Kiufupi Azam Fc asilaumiwe kwa kuwa kakutana na Bingwa Hilo halina ubishi na anastahili sifa kwa uwezo aliounesha wa kupunguza magoli.
Achana na Goli la Aziz key, Wala usiulize kuhusu Clement mzize mtoto aliyepata baraka pale ikulu kutoka kwa Mh Raisi Samia suluhu kwa kutambulishwa.
Mchezo wa Singida fountain Gate na Simba leo wachezaji wa Singida watapewa kadi za njano nyingi mpaka kupelekea kadi nyekundu ili mradi tu Simba sc afike fainali.
Nawasilisha hoja.
Urudishe huo mvuto Sasa.Kwani wewe mnyama hakukukanda 2 Kwa Yai??? Ety huyu nae yupo jamii forum duuuh zamani huu mtandao ulikuwa wa maana ila siku hizi hakuna mvuto kabisa??? Kwa sababu ya watu Kama hawa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Bongo raha sana
Simba wakishinda watakuwa wamebebwa
Wakishindwa ni Simba mbovu
Alieanzisha Simba na yanga Ana akili sana
Unaangalia mpira wewe Nini kinachoendelea hapo.Kwani wewe mnyama hakukukanda 2 Kwa Yai??? Ety huyu nae yupo jamii forum duuuh zamani huu mtandao ulikuwa wa maana ila siku hizi hakuna mvuto kabisa??? Kwa sababu ya watu Kama hawa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Tuvumilie makosa ya kibinadamu [emoji23][emoji23]Hawa Singida fountain Gate wamenyimwa goli Kama nilivyosema
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app