So, impact ya Mange ni kujibiwa na Lema na mwanasheria mkuu wa serikali?Manga angakuwa hana impact lema asingekuja kumjibu
Kumbuka mwanasheria mkuu wa serikali alisema atahakikisha mange anafikishwa kwenye vyombo vya sheria sasa mtu ambaye hana impact iweje mwanasheria mkuu amjibu
Ndio kazi ya Brenda hiyo, hata kama sio kila siku, lakini asiache uongo wa Mange ukarudiwa kila mara bila kujibiwa.Sasa Brenda atakuwa nasafisha viongozi kila siku?
Hao wakina lema kila siku wanasemwa kila sehemu
Sasa unataka akiona post jf aite press ajibu?
Unajua kwanini siku hizi ukiwa mwanaharakati unaitwa mpinzani? Ni kwa sababu wote wanatetea wananchi.Nakuelewa sanaa, lakini it seems like chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi kuliko katiba na ilani ya chama, unless otherwise hiyo ndio iwe strategy ya chama.
Ndio kazi ya Brenda hiyo, hata kama sio kila siku, lakini asiache uongo wa Mange ukarudiwa kila mara bila kujibiwa.
Kwani ni mwanaharakati gani ameisemea CHADEMA?Yaan na walifanya kosa kubwa sana
Wengi boss ntakutag one day tuipe assignmentKwani ni mwanaharakati gani ameisemea CHADEMA?
Mimi sijui unachozungumzia wewe kuhusu "chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi...", labda ungetoa mfano mahususi ungeeleweka zaidi kuhusu hii hoja yako.Nakuelewa sanaa, lakini it seems like chama na wanachama wanamove kwa kauli na moves za wanaharakati zaidi kuliko katiba na ilani ya chama, unless otherwise hiyo ndio iwe strategy ya chama.
Unajua mwanasheria mkuu wa serikaliSo, impact ya Mange ni kujibiwa na Lema na mwanasheria mkuu wa serikali?
Mimi huku kijijini nikimsemaLema vibaya hawezi kunijibu?
Mange kujibiwa na Lema ndio kunamfanya aonekane mtu kwa wasiopenda umbea, Lema angenyamaza kimya amuache Mange awaburudishe wapenda umbea.
Sio kwa CDM mkuu, hizo taratibu na wao ni vitu mbalimbali, wewe unaruhusu vipi kiongozi wenu wa chama anabagazwa hadharani na mpo kimya?Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆
Chadema ijifunze kuwa na msemaji mmoja pekee wa chama ambaye atakuwa anatoa nakala maalumu ya taarifa husika,na si kila mtu kujirushia habari kwa jinsi anavyojisikia,kutokuwa na mfumo wa kihabari kina kuwa siyo chama tena bali ni ----KUSANYIKO LA WAHUNI ----afisa habari awepo 24/7 kupitia habari za makunguru ya chadema yanayotoa ripoti kwa jinsi yanavuojisikia,chadema ielewe,""This is political party and not hooligans party""
CDM PRESS NI LAZIMA ITOE ONYO KALI KWA WALE WANAOTOA HABARI AMBAZO CHAMA HAKINA TAARIFA ZA HABARI HIYO.
Ni vyema mtu unapotoa madai kama hayo kuwataja hao watu ili tuweze kuona kama ni kweli au la.Wengi boss ntakutag one day tuipe assignment
Sasa Rupia msemaji wa. chama aanze kuhangaika na kujibu majibizano ya kwenye mitandao, mnataka kumpa mzigo wa bure dada wa watu. Yeye anamiongozo yake, kama issue itakuja officially Rupia ataijibu kutokana na msimamo wa chama. Mnataka anze kuhangaika na malumbano ya Lema na akina Mange!? Hicho hakitakuwa chama kitakuwa kijiwe.Kumjibu Mange ni ujinga tu, sioni umuhimu wake yule ni mpiga kelele mitandaoni aliyejipatia umaarufu kwasababu ya kueneza habari za umbea.
Hana impact yoyote field, kama TISS wanamtumia kweli au unajituma mwenyewe hawezi kubadilisha chochote kwenye platform ya taasisi.
Ila kuhusu usemaji wa CDM hapo nakubaliana nawe, Brenda yupo kimya sana, angetakiwa yeye ndie ajitokeze kuwasafisha viongozi wa chama chake wanapotuhumiwa na Mange.
Badala yake anamlazimisha Lema ajitokeze hadharani kujisafisha, kitu ambacho sio sawa kwa mtu wa level yake kuhangaika na Mange ambaye alishamzushia mpaka dada wa Lissu kukutana na JK hotelini akapingwa na hakusema chochote.
WAnaharakati na chadema wamejikuta wanapigania jambo mojaNi vyema mtu unapotoa madai kama hayo kuwataja hao watu ili tuweze kuona kama ni kweli au la.
Maana hata mimi ni mwanaharakati lakini si mwanachama wa chama cha siasa ila kwa hali ya sasa nakubaliana na CHADEMA.
Siku ya leo imekuwa njema sana kwa upande wa chadema kwani watajivua gamba na kusimama pamoja na kuwa imara zaidi,usikute mtu wa kati akawa mnyika wote mkabaki midomo wazi😆😆
Chadema ijifunze kuwa na msemaji mmoja pekee wa chama ambaye atakuwa anatoa nakala maalumu ya taarifa husika,na si kila mtu kujirushia habari kwa jinsi anavyojisikia,kutokuwa na mfumo wa kihabari kina kuwa siyo chama tena bali ni ----KUSANYIKO LA WAHUNI ----afisa habari awepo 24/7 kupitia habari za makunguru ya chadema yanayotoa ripoti kwa jinsi yanavuojisikia,chadema ielewe,""This is political party and not hooligans party""
CDM PRESS NI LAZIMA ITOE ONYO KALI KWA WALE WANAOTOA HABARI AMBAZO CHAMA HAKINA TAARIFA ZA HABARI HIYO.
Punguza na mapombe.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Ni kama Mwaipopo akiongea watu huona ametumwa na CCM. Hata kama sio.WAnaharakati na chadema wamejikuta wanapigania jambo moja
Sio kweli wanaharakati na chadema ni kitu kimoja ni malengo tu yamekutana