Unadhani hawaelewi au wamepata sababu ya kuisimanga CDM leo.Kuna mambo yanachanyanya kwenye hoja yako
Wanaharakati wengi wako upande wa chadema because wanataka mabadiliko
But sio kila wanachosema au wanachotahadhalisha kiwe directly kama kimesemwa na chadema
Lazima kuweka tofauti ya taarifa za chadema kama chama na taarifa, za wanaharakati
Chadema haijawahi kusema lema ni dalali
But wanaharakati ndio wanasema lema ni dalali
Unadhani hawaelewi au wamepata sababu ya kuisimanga CDM leo.
Hapana LEMA is clean man, sema anapenda siasa za kupeana nafasi ambacho kinamfanya asiendane na hii kasi au ideology ya kina Lisu na HecheLema amekuwa exposed kuwa yeye ni PANDIKIZI,hii press yake imethibitisha kila kitu.Huu ni Ushindi kwa Chadema ya Lisu na Watanzania wenye Upendo na Tanzania
Ni ubinadamu kutofautiana lakini sio kuwekana kizuizini, (Nchimbi, Polepole)Furaha yangu ni Kuona Ma CHADEMA yakifarakana
Pamoja na kutokuwa shabiki wake huyo Mange kwa kutoamini anachokipigania; lakini huwezi kusema hana 'impact', wakati hao waovu wenyewe wanahangaika sana kuhusu hayo anayoyaibua.Mange hana impact?
Huko ni kujilisha upepo sasa..!!
Heche zimekuwa presented risiti zinazomhusu personally na kadi za magari yake binafsi unataka Brenda amjibie?Misingi yako ni ipi? Last time kwenye issue ya Heche wewe na baadhi ya watu humu ndio mlikuwa wa kwanza kusema Heche ajitokeze ajisafishe, leo hii issue ya Lema unasema Brenda/Chama kimsafishe, Double standards sio?
Muwe mnasoma na kuelewa, narudia tena Mange hana impact yoyote field kama ipo niambie wapi na lini alisababisha nini kikatokea?Mange hana impact?
Huko ni kujilisha upepo sasa..!!
Heche zimekuwa presented risiti zinazomhusu personally na kadi za magari yake binafsi unataka Brenda amjibie?
Fundamentally ni kitu kile kile wote ni viongozi wa CDM wanaotuhumiwa kwa umbea.Mange aliwahi present ushahidi upi na wapi kumhusu Lema zaidi ya umbea wake?
Think.
Rachel dangwaMuwe mnasoma na kuelewa, narudia tena Mange hana impact yoyote field kama ipo niambie wapi na lini alisababisha nini kikatokea?
Juzi kaitisha maandamano kuwakumbuka waliofariki Okt.29, uliyaonea wapi hayo maandamano yake?
Narudia tena, Mange hana impact yoyote field.
Aaa wanshekya munnoLema hata angekuwa mwongo basi uongo wake ukimsikiliza bila bias una make sense.
Mambo niyochukua katika press yake
1. Wanaharakati wanategemewa na kuhitajiwa sana katika kuitafuta na kuipambania Tanzania iliyo bora, lakin wawe wanafanya "fact check' kuepuka madhara ya double agents!
2. Wanaharakati watambue kufanya siasa ukiwa ndani jua risk ni kubwa na unaweza kupotea hujafika popote. Umakini(ujanja) unahitajika.
3. Huwezi kupata matokeo ya kisiasa kwa nguvu kati ya aliyeshika mtutu na aliyeshika NENO! Lazma uziangalie tambo zako au uingie msituni!
4.Uhasama wa wanasiasa unafanana na uhasama wa wanaoshitakiana mahakaman na mawakili wao wakinywa chai pamoja(nadhan wananchi ndo wateja)
5. Wananchi ndo tatizo kubwa kwa maendeleo yetu wenyewe kuliko wanasiasa kwa kutowapa ushirikiano, kujitoa na hamasa wale wanaotutetea.
Mwisho kabsa:
" IF YOU CAN'T DEFEAT THEM, JOIN THEM"
"EBYAKAFILE BISHAILWA KAYO!"
Hapo ndo amekamilisha ile ideology ya "PEOPLE'S POWER" lakini wananchi ili walete mageuzi hayo lazima wawe influenced na wanasiasa au social welfare na economic factors i.e kuporomoka kwa uchumi na ugumu wa maisha.Lema kwa leo nakubaliana naye kwa kukiri kuwa wananchi ndio wanaoweza kubadilisha hali ya kisiasa nchini kamwe sio wanasiasa au vyama.
Yes Lema anataka siasa za kupigwa shavu la kushoto geuza la kulia.Hapana LEMA is clean man, sema anapenda siasa za kupeana nafasi ambacho kinamfanya asiendane na hii kasi au ideology ya kina Lisu na Heche
Wana tamaa Gani CHADEMA? Watu waliogoma kushiriki uchaguzi na kukosa ruzuku unawaita Wana tamaa. Wenye tamaa ya fisi wanajulikana ni CCM.Sasa unategemea CDM wawe makini,Nani mwenye huo umakini .
Wakati wote Wana tamaa haina mfano
CHADEMA hawana emotional inteligence.Ntaeleweka vibaya Ila Nataka kuwaeleza pamoja na kwamba mi na mangi ni maji na Mafuta
Ila TISS wamefanikiwa kuwagawa CHADEMA kwa kuwatumia baadhi ya wanaharakati kuwafarakanisha bila kujua
Kwa sasa harakati zimekuwa ni nani karipot wa kwanza , nani anatumia maneno makali nani anaonesha misimamo hata Kama ni ya kipuuzi
Suala la Mangi wamemsingizia hahusiki kabisa na kumpeleka Mkuu wa xxxx kwa Mgwai, alompelekea ni mtu wa nyumba ya xxxx ambaye mwaka ***** alifanikisha jambo!
Chadema muwe makini sana, si kila taarifa mnayopokea mrushe mtandaoni
Alafu Taasisi ijifunze ku address issues za chama kupitia formalities Siyo kila mwana harakati ni msemaji wa Chama
Soma pia
Na alikuwa na ukaribu sana na mama kipindi anaapishwa mwanzoni kabisaHawa wote akina kimambi usishangae before 2030 anafanya kazi ya CCM
Madai yangu kwa Heche yapo kwa ushahidi uliotolewa dhidi yake mahakamani kumhusu, usinihusishe na wengine, ondoa wingi ukinijibu.Kwa madai yenu kwa Heche yalianzia kwenye risiti?
Fundamentally ni kitu kile kile wote ni viongozi wa CDM wanaotuhumiwa kwa umbea.