Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

Sasa mimi ningejitokeza vipi wakati maandamano yenu na Mange mliyafanyia chumbani kwenu!.

Mange ni sawa na tambara bovu, watafute hao wanaomchekea wapenda umbea uwaulize kwanini humchekea akimponda Samia!, mimi sio miongoni mwao.

Unaposema Chadema hawajawahi naona unaleta ubishi tu sasa, kama huniamini kamuulize AI.
 
Huyo kimambi mwanzoni alikuwa anapewa sensitive information anatusanua bila kuchuja baada yakugundua weakness wakaanza kumpa fake news kisa anaamini vyanzo.
Anayeongoza kwa kula uchafu ni yule Maria Sarungi
 
Sasa mimi ningejitokeza vipi wakati maandamano yenu na Mange mliyafanyia chumbani kwenu!.

Mange ni sawa na tambara bovu, watafute hao wanaomchekea wapenda umbea uwaulize kwanini humchekea akimponda Samia!, mimi sio miongoni mwao.
Ungejitokeza wapi na ikiwa ulibana ndani unaogopa risasi..!!

Hiko ndio kinachowafanya wananchi wagons kutoka mkiitisha maandamano yenu..!!

Mbowe alijaribu maandamano ya ukuta hata nyie wafuasi wake mkabana pumb kama sio nyie 😹
Hamuaminiani hadi wenyewe kwa wenyewe..!!

Mange ni li dude li kuubwaaa hilo weka akilini.
Kipindi cha jiwe aliwafanyisha usafi jeshi nchi nzima..!!

Hata maombelezo ya juzi si umeona gari za policcm zilivyojaa mitaani. Haya nyie mlifanikiwa lipi?

Mumshukuru sana Lissu na Heche kwa kuwasaidia kuwarudisha wananchi sasa hivi, lakini huyo Lema kashatibua na msipomtoa mtabaki peke yenu na sasa hivi chadema mnasaidiwa pesa na wananchi..!! Kazeni fuvu muone
 
Nasikia na wewe ni ccm damu damu
 
Mange ni lidude likuubwa mtandaoni!

Field ni kadude kadoogo.

CDM ina matawi mpaka vijijini huko ambapo Mange hata hajulikani!.

Kama kumuamini sana aanzishe chama chake cha siasa.
 
Mange ni lidude likuubwa mtandaoni!

Field ni kadude kadoogo.

CDM ina matawi mpaka vijijini huko ambapo Mange hata hajulikani!.

Kama kumuamini sana aanzishe chama chake cha siasa.
Hiyo ilikua zamani sasa hivi utandawazi hadi huko bush wanamjua Mange ni nani nchi hii..!!

Magu alikua halali sababu ya Mange na Samuya vivyo hivyo halafu unaongea nini wewe??

Chadema mkubali tu Mange kasaidia kuwarudisha mchezoni na Chadema bila wanaharakati aina ya Mange hamtoboi sababu mlishavunja mioyo ya wananchi kwa tamaa zenu za kufika bei..!!

Mpo km malaya hamna misimamo kabisa ukimtoa Lissu na Heche..
 
Masikitiko yangu ni kwamba TISS Haiwezi kutofautisha CCM na Tanzania.
 
Wengi boss ntakutag one day tuipe assignment
Hapa Brits nakupinga, hao wanaharakati hawasemi km viongozi au wasemaji wa chama, wanasema km wao binafsi na kuwasanua wananchi, km ambavyo wee hapa unavyotuletea habari za ndani, huwa unatusanua km msemaji wa chama au wewe binafsi kutujuza waja ya jikoni??

Lema anajibizana na wanaharakati wanao mtuhumu, na sio chama chake, ndio maana viongozi wa chama hawajawahi kumtuhumu hivyo.

Asichanganye hapo. Lol
 
Chadema sasa hivi hakuna maslahi, hakuna maridhiano, hakuna kugombea n.k, usitegemee mtu kama Lema kuendelea kuwepo kwenye sera kama hizo.
Siasa za akina Lema, zilikuwa zile za Mbowe, watu wawe na magepu ya kupata ugali mezani.
Umemaliza kila kitu.
 
Hapa wa kutuliza upepo ni viongozi wakuu wa chama,ukimsikiliza lema ana make sense ila ukifuatilia mashambulizi mengi unaona kuna watu wamelenga kupasua chama,ila viongozi wapi kimya
 
Mbona ishu ya Pole pole inajadiliwa na wanaharakati kila uchwao, na wao CCM hawajawahi kutoka nje kukanusha? Vipi kuhusu Nchimbi? Wametoka front kujuza umma kuwa yuko wapi na anafanya nini?

Veggies mna nini lakini?
 
Yaani Mange amtuhumu Lema, afu aje ajibu Brenda kumsafisha? Kwani Lema mwenyewe asijibu hizo tuhuma zake binafsi? Mbona Dada wa lissu alijitokeza kujibu?

Ilisikika Lissu anashawishiwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, kaka yake (RIP) kwenye interview kasema ni kweli na barua aliambiwa aandike yeye kwa niaba ya lissu na alikataa.

Kila mtu tuhuma zake ajibu yeye mwenyewe, acha kumchosha Brenda bhana.
 
Hatuwezi kupotezewa muda na kina nange Heche peleka moto sana maccm yaingue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…