tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hapo kuna vingi vinaangaliwa sio uzito tu,kuna ubora yani lazima ulichambue utoe sehemu nzuri ambazo hazina cracks,plus rangiKapigwa Sana.. kilo 9 billion 7??? Labda sio Tanzanite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna vingi vinaangaliwa sio uzito tu,kuna ubora yani lazima ulichambue utoe sehemu nzuri ambazo hazina cracks,plus rangiKapigwa Sana.. kilo 9 billion 7??? Labda sio Tanzanite
Achana na hao wapenda sifa,hawajui historia ya mererani kuna watu wameshapakua kilo za kutosha kina gadi na marehemu mengi
Ndio huyo laizer saninu,alipata pesa kwa wachina zaidi ya hiyo mana amenunua vitu vingi sana arushaMzee baba hivi huyu si ndio laiser yule alikuwa ma wachina ? Pia alikuwa anamiliki manyara in?
Ni sahihi mkuu, nilidhani ni tayari lililokuwa processedHapo kuna vingi vinaangaliwa sio uzito tu,kuna ubora yani lazima ulichambue utoe sehemu nzuri ambazo hazina cracks,plus rangi
Ambao ndio wengi Zombe typeLabda wengine. Zombe na group lake...mhhh!
Huo mgodi ulishatoa kilo za kutosha plus mawe yake yanachanganya na jiwe linaitwa crosslight gram 1 inafika 10mMengi si alifunga migodi yake yote? tweenty4seven
Mzee Mengi alikuwa na block, sio vijivitalu.. Mzee Mengi kapiga hela sana kwenye mawe na bado ana hifadhi ya mawe ya kutosha..Mengi si alifunga migodi yake yote? tweenty4seven
Hata yule aliyepiga almasi shinyanga angeenda uza Belgium angepata pesa ndefu zaidi...Kwa uzito wa mawe hayo kulipwa 7.7 Billion bado kapunjwa kodogo, mi nilitaka kumpa 10 Billion ambapo London stock market wali pledge kunilipa 15 Billion
Kila wakati, Mungu yu mwema.Mungu ameshainua mtu wake.Mungu ni mwema
Hapo ni rough stone ukisort kutoa huo weupe wa pembeni ndio unapata thamani halisiNi sahihi mkuu, nilidhani ni tayari lililokuwa processed
Yaani serikali wizara ikutambue alafu wahuni kama wakina zombe wakusumbue hkna kitu kama hichoLabda wengine. Zombe na group lake...mhhh!
Sema serikali Sahv inakutangazaaaAchana na hao wapenda sifa,hawajui historia ya mererani kuna watu wameshapakua kilo za kutosha kina gadi na marehemu mengi
Kwa nini huendi mnadani umekaa tu mitandaoni. si uwe unaenda sokoni umekaa tu kazi kuangalia internet unategemea vishoka wakuletee? raisi Magufuli alishadhibiti hilo utasubiri sana vishoka walishaondolewa sokoniKwa uzito wa mawe hayo kulipwa 7.7 Billion bado kapunjwa kodogo, mi nilitaka kumpa 10 Billion ambapo London stock market wali pledge kunilipa 15 Billion