tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Niamini mkuu kanda yote ya ziwa kuanzia singida hakuna gemstone za ghali, hizo ni cheap stone. Gemstone zenye bei ziko tatu tu, inaanza spinal iko moro, inakuja green garnet halafu TanzaniteMkuu kwa uelewa wangu sidhani kama itakuwa cheap germstome. Ipo ndani ya eneo letu porini huko kanda ya ziwa.
Nikifika nitakutumia picha kwanza uhakiki