G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Aisee niwe ndo mimi,ntawatimua na vumbi watakalo toa sitawaona tenaWapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee niwe ndo mimi,ntawatimua na vumbi watakalo toa sitawaona tenaWapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani alikataa bilioni 10 zako?????Kwa uzito wa mawe hayo kulipwa 7.7 Billion bado kapunjwa kodogo, mi nilitaka kumpa 10 Billion ambapo London stock market wali pledge kunilipa 15 Billion
Hapo wanamng'angania mikodi kibao 2+B LAZIMA ZIPOTELEE WA MAMLAKA MBALIMBALI NA WAPIGAJI
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.
Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.
Hizo ni story kua kawe bilionea,wakti hizo pesa kashika zaidi ya hizo miaka 7 imepita..laizer ni billionea kitambo pia hiyo pesa anabaki na nusu mana kuna mdhamini aliekua anahudumia anachukua chake
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.
Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.
Huyo ni tajiri kitambo,asset anazomiliki zinazidi hiyo pesaWapi madem waliomkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali mkuu umeweka historia sawa.Hizo ni story kua kawe bilionea,wakti hizo pesa kashika zaidi ya hizo miaka 7 imepita..laizer ni billionea kitambo pia hiyo pesa anabaki na nusu mana kuna mdhamini aliekua anahudumia anachukua chake
Labda 20bn,mana hapo bado hujasort kutoa yenye mpasukoKama sio soko la madini limeshuka kwenye soko la dunia sababu ya covid ... nadhani angepata mara nne zaidi ya hiyo hela iliyotajwa
Huyo sio pimbi ni mtu mwenye asset kibao,jirani na triple A anamiliki mall kubwa ya kisasa ya ghorofa 4Kitakachomtafuna huyo bilionea ni umasikini wa akili!
Achana na hao wapenda sifa,hawajui historia ya mererani kuna watu wameshapakua kilo za kutosha kina gadi na marehemu mengiAfadhali mkuu umeweka historia sawa.
Mtu anamiliki mgodi toka kitambo halafu wanasema amekuwa bilionea sasa hivi
Kapigwa Sana.. kilo 9 billion 7??? Labda sio TanzaniteKwa uzito wa mawe hayo kulipwa 7.7 Billion bado kapunjwa kodogo, mi nilitaka kumpa 10 Billion ambapo London stock market wali pledge kunilipa 15 Billion
duh kumbe ni doni kitambo woii..! don laizerHuyo sio pimbi ni mtu mwenye asset kibao,jirani na triple A anamiliki mall kubwa ya kisasa ya ghorofa 4
Labda 20bn,mana hapo bado hujasort kutoa yenye mpasuko