Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Watu wanamshobokea pesa zake za kawaida na atafirisika tu
Kwanini afilisike na wataalam mko wa kumshauri?

Mimi ushauri wangu kama hana madeni aachane na hiyo biashara afanye shughuli za kilimo.

Hiyo pesa awe anachukua TZS 5,000,000 kwa mwezi kwa jili ya kijikimu yeye na familia ambapo ni sawa na miaka TZS 7,800,000,000/60,000,000 = miaka 130
 
Sasa mtu anafilisikaje ikiwa kaanza shika pesa miaka ya 2000 uko kama anauwezo wakulisha watu 400 kila mwezi na kila siku ya mwaka unaisi anatumia pesa ngapi?
Unajua anamigodi mingapi uyo si mwana apolo yeye shimoni haingi kabisa yeye nikutoa huduma wanaleta mzigo na wanalipwa pesa izo bilion haja anza zishika leo ata iyo Mall anayosema anataka jenga sio ajaanza jenga ameanza jenga kitambo, ana Hotel apo Chuga Maika na miradi kibao kati ya Mazimba wa Arusha wanaotokea kwenye Tanzanite uyu Mzee yupo , kumbuka kapevuka uyo so hana ulimbukeni eti sijui wa kuendekeza starehe unavyo muona ndio ivyo ivyo na mashuka yake, maskio katoboa, na shanga mkononi haachi asili shule ajaenda ila wanajifunza lugha mbili tu, kiswahili na English kwa ajili ya mawasiliano only that
 
Huyu jamaa, kwa sasa kichwa chake kinawaka moto sana, na yupo njia panda ya kufanya maamuzi tofauti tofauti kuhusu pesa aweke kwenye matumizi gani au biashara gani.

Naombeni apewe ushauri humu ya kuwa afanye nini.
 
Kichwa chake hakiwezi kuwaka Moto maana si mgeni wa kushika pesa hivyo tusimpangie matumizi.
 
Acha utani. Huyo ni bilionea toka zamani. Hakuna kitu cha maana unachoweza sana kumshauri
 
Hii tweet ya huyu jamaa ni uongo mtupu huyu Laizer amefanya kazi na wachina wametoa mawe sana
Aliyepost hio kitu hapa JF mwenyewe ni kilaza tu,akiambiwa post ya uongo hio analeta ujuaji.
 

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.

Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.

“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.

Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.

Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa

Hongerazake.
Lakini huyo prof anaongea kirahisi sana kana kwamba upatikanaji wa madini ni rahisi. Kama yeye anaona ni rahisi kuwa bilionea kwa kuchimba madini, basi akajaribu.

NB:
Wanasifia kwa kipindi hiki, lakini TRA wameshaagizwa wamfuatilie, na wana wa lumumba wapo jirani kwa sasa kumfanya awe wa kwao kwa ajili october 2020
 
Hilo jiwe limekatwa na baruti na ndio huwa hivyo mana tunalipua mwamba na baruti,pia hata ukilitoa na nyundo lazima liwe na cracks mana ni jiwe
Ina maana mkuu kuna wana apollo watakuwa wameokota zile chenga na wenyewe huenda wakapiga pesa.
 
Ina maana mkuu kuna wana apollo watakuwa wameokota zile chenga na wenyewe huenda wakapiga pesa.
Appolo wamepiga pesa sana pia kuna mawe madogodogo ndogo nzima ambayo kithamani yanazidi hizo kilo 9,serikali imechukua hayo makubwa tu
 
Back
Top Bottom