Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
ila mie nimeina sio sawa kumtangaza itampa shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah hii post imenifanya nicheke kilaizer kilaizerWewe papuchi utazipata sana zenye kilo kubwa kubwa ila siyo Tanzanite!
Kwanini afilisike na wataalam mko wa kumshauri?Watu wanamshobokea pesa zake za kawaida na atafirisika tu
Hawatulii😀...huyo jamaa nasikia hela anazoWatanzania mna mahangaiko....
So ana miaka 35??Hivi ni dingi au kijana yule?,,
Tatizo vijana wa miaka 20 kuwaona wenzao wa 35 wazee,,sijui husababishwa na nini
Yaaan [emoji23]...Hawatulii[emoji3]...huyo jamaa nasikia hela anazo
Dhahabu utachimba faida ya ni kujenga lodge ndogondogo,kg ya dhahabu iko kwenye milioni mia na ushee bado uchome mpka iwe block ni kaziAchana nao wanadhani Tanzanite ni dhahabu
Aliyepost hio kitu hapa JF mwenyewe ni kilaza tu,akiambiwa post ya uongo hio analeta ujuaji.Hii tweet ya huyu jamaa ni uongo mtupu huyu Laizer amefanya kazi na wachina wametoa mawe sana
Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo thamani yake ni shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.
“Na utofauti wake ni kwamba mawe ya uzito huo hayajawahi kupatikana kwenye machimbo ya Tanzanite tangu machimbo yaanze na yamepatikana ndani ya ukuta wa Mirereni kwahiyo hii ni rekodi mpya ya kupata mawe yenye uzito huo,” amesema Prof. Msanjila.
Profesa Msanjila amesema kuwa sekta ya madini inauwezo wa kumfanya mtu kuwa bilionea kwa haraka, ameongeza kuwa kunahitaji kuwa uwekezaji wa dhati katika sekta hiyo.
Serikali imenunua mawe hayo kutoka kwa mchimbaji huyo na yatawekwa katika makumbusho ya taifa
aya kachimbe madini na wewe uwache kudiscuss wenzio sio kutwa kwenye keyboard.Aliyepost hio kitu hapa JF mwenyewe ni kilaza tu,akiambiwa post ya uongo hio analeta ujuaji.
Njoo uwauzie barafu zako wana appolo huku.aya kachimbe madini na wewe uwache kudiscuss wenzio sio kutwa kwenye keyboard.
Ina maana mkuu kuna wana apollo watakuwa wameokota zile chenga na wenyewe huenda wakapiga pesa.Hilo jiwe limekatwa na baruti na ndio huwa hivyo mana tunalipua mwamba na baruti,pia hata ukilitoa na nyundo lazima liwe na cracks mana ni jiwe
Appolo wamepiga pesa sana pia kuna mawe madogodogo ndogo nzima ambayo kithamani yanazidi hizo kilo 9,serikali imechukua hayo makubwa tuIna maana mkuu kuna wana apollo watakuwa wameokota zile chenga na wenyewe huenda wakapiga pesa.