Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nyerere akijaribu kutorosha meno ya ngiri

JAMANI ...HATA MENO YA NGIRI TUNALALAMIKA HIVYO? HIVI HAPA TZA YANA FAIDA GANI HAYO MENO, AU SINA UFAHAMU HUO?
 
Hahahahahahaa walipokuwa wanajenga daraja la ruvu, nyoka wote, vyura, samaki, paka na mbwa vyote viliisha.... so huoni kwamba hawa watu sio wenyewe kabisa??
Hata huku kwetu kanda ya ziwa walipokuwa wanashughulika na mradi wa kutoa maji ziwa Victoria kwenda shinyanga na sehemu nyingine walimaliza mbwa wa wenyeji
 
Hawa jamaa utafikiri wana immune fulani mwilini wanakula kila kitu kinachotembea yaani hawali mawe tu.

Na kwa ujangili ni wa tatu duniani wanatisha
wabaya sana hawa wapuuzi kuna mitaa wamezalisha dada zetu kwenda mbele sooni tutakuwa na taifa la china ndaani ya tanzania waondolewe
waondolewe

kisha maviwanda yao yanaongoza kwa kutiririsha mimaji yenye sumu mitaani, wafanyakazi wa wachina ambao wengi ni wa tz wanafanya kazi katika mazingira hatari sana ,vitendea kazi ni hakuna mishahara hovyo... na HAWA WACHINA wengine ni wajeuri kuliko HATA sisi wenye NCHI yetu ukimkamata akiwa na makosa kama hayo anakutunishia misuli mpaka unawaza anapata wapi JEURI HIYO
 
kwanini iwe jangwa kwa habari hii? amekamatwa na meno ya ngiri na siyo magogo au miti. labda ungehofu kupungua wanyama.
Mkuu, Avatar yako inadhihirisha hiyo moja!! pili Misitu inapunguwa kwa kukata miti na biashara haramu ya magogo!! tatu mazingira yamechimwa mashimo makubwa ya migodi, nne mmongonyoko wa ardhi...tano tabianchi maji ya baharini huongrezeka ndani ya ardhi kavu nchini...sita mvua na mafuriko... na hatimaya WaChina huona nyuma ya pazia,,, mimi na wewe hatuoni wala kujua kuna nini!!!
Hongera kwa asili mia 61% nchi itakuwa.......J
 
Wachina kwa imani za kisenge? Hawa husaga meno ya ngiri na kuchanganya kwenye chai ili kurefusha mboo na kuongeza nguvu za kiume.
 
Nakumbuka Rais Magufuli kwenye kampeni alisema, "Nitagawa kombania, platuni na section ya Tembo, ili kila Tembo atakaetolewa ndovu, viongozi wa section husika wote, mtajibu shutuma!!! Kwa wanajeshi wanaelewa nasema nini" mwisho wa kumbukumbu..
TANAPA wamekuja na proposal ya kutaka iendeshwe kijeshi.
 
Wataanza na kuuwa viboko kwa meno yao maana hayo nayo ni mali kwao

Jamani watamaliza kila kitu only God knows wamebeba vingapi
 


Hawa ni wawekezaji wa Kikwete. Wa kulaumiwa hapa ni familia yake as we all know the role Ridhiwani played.
 
Wakimaliza meno ya ngiri waje wachukue nyayo zetu huenda ni dawa ya kupasulia miamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…