Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Sky Eclat Mkuu unataka kusema anayehitaji ini akifika bei elekezi ya serikali ya China anachukuliwa mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa then wananyofoa ini inauzwa wanafanya replecement. Aise duuuu hii nalo ni jambo.
Haiko exposed the way think, it's an hidden agenda, niliona documentary BBC, inasikitisha sana.