pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
China hawajawahi kutafuta amani kwa nchi inazodai inafadhili zaidi ya kupukutisha raslimali za nchi hizo, Ukiona China inakuunga mkono ujue raslimali zako zinapatikana kwa urahisi sana, hata hayo meno ya ngiri ni maigizo tu kama walivyo igiza kwenye meno ya tembo baadae Rais mwenyewe akaja kuzichukua bila shida.