Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nyerere akijaribu kutorosha meno ya ngiri

Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nyerere akijaribu kutorosha meno ya ngiri

ndio hapa kuna uzi juzi kati kuna mchina kaimba taarabu haya majamaa hi janga yanajifanya ni mawekezaji kumbe wauwaji wakuu wa pembe za ndovu ni wao
Hapa bado sijaona utofauti wa serikali ya magufuri na kikwete
 
Mkuu nishawahi kusikia hii ya uuzaji wa human organs, familia za mashambani nyingi zinakiuka one child policy ya China ili kupata wafanyakazi wa mashambani. Watoto wa pili na kuendelea hawana documents za utambulisho wanapokamatwa na authorities wanachukuliwa wanatolewa organs apparently without anesthesia. A lot of journalists have tried to find proof lakini hawajaweza.

Ni wazi hawa watu hawathamini maisha ya binadamu sembuse ya wanyama na miti.
Hawa majamaa ni makatili sana,ukiwachilia mbali issue za kiuchumi
 
Hawa msipowaangalia watawapa dawa ya vichaa wanyama wetu halafu itatulazimu tuwauwe tu nao wapate meno.

Yaani hawa jamaa ni mafia dunia inawaangalia kwa jicho la tatu. Money laundering, prostitution, drug trafficking, you name it
Hivi hata hiyo prostitution wapo pia?
 
Hivi hata hiyo prostitution wapo pia?
Vibaya sana, tena kwa kuwauza ndio wenyewe yaani ni shidaaa hawa jamaa, London China Town ukiona ndio utajua hawa jamaa ni Mafia haswa
Human trafficking wamo sanaaa
 
Vibaya sana, tena kwa kuwauza ndio wenyewe yaani ni shidaaa hawa jamaa, London China Town ukiona ndio utajua hawa jamaa ni Mafia haswa
Aisee kwa kuendelea kuwakumbatia hawa majamaa kisa ndio wafadhili basi tujiandae pia kujiandaa kisaikolojia wa kubakia sawana zanzibar wasiyo na hifadhi za wanyama labda tujiandae kuhifadhi kunguru ambao sidhani kama wachina wana soko huko china
 
WACHINA NI WABAYA KULIKO WAHINDI WAPO, HAPA KWA FAIDA ZAO WENYEWE, BORA HATA WAHINDI WANATOAGA AJIRA KIMTINDO JAPO NI WANYANYASAJI ILA WACHINA WAKO KINYAKUZI ZAIDI.... KWANINI JPM ASIWE KAMA IDDI AMIN DADA KUWATIMUA WAENDE MAKWAO

KARIAKOO WANALALA HUMO HUMO KWENYE FREM WALIZO PANGISHA KUUZA MAUA NA UREMBO KWA KIGEZO CHA UWEKEZAJI USIKU NI VIWANDA VYA KUTENGENEZA MAKOROKORO FEKI NA KUPANGA DILI ZA UJANGILI KUDAADEKI WASEPEEE
 
Aisee kwa kuendelea kuwakumbatia hawa majamaa kisa ndio wafadhili basi tujiandae pia kujiandaa kisaikolojia wa kubakia sawana zanzibar wasiyo na hifadhi za wanyama labda tujiandae kuhifadhi kunguru ambao sidhani kama wachina wana soko huko china
Hawa jamaa utafikiri wana immune fulani mwilini wanakula kila kitu kinachotembea yaani hawali mawe tu.

Na kwa ujangili ni wa tatu duniani wanatisha
 
WACHINA NI WABAYA KULIKO WAHINDI WAPO HABPA KWA FAIDA ZAO WENYEWE BORA HATA WAHINDI WANATOAGA AJIRA KIMTINDO JAPO NI WANYANYASAJI ILA WACHINA WAKO KINYAKUZI ZAIDI KWANINI JPM ASIWE KAMA IDDI AMIN DADA KUWATIMUA
Mimi nadhani ile mikataba 17 iliandikwa kichina aliyo isimamaia mkwere ikasainiwa kwa nusu saa bila hata ya kuisoma na kuielewa ndio inamtesa na Magufuli
 
Aisee mkuu nashukuru sana kwa kunipa taarifa za uhakika za wachina,hivi kuna watu majangili zaidi ya hawa wachina?
Kuna wababe wengi wa Mafia duniani wakiwemo kina Genovese huko New York ni kabila toka Colombia ni hatari na wapo Italian Mafia pia

Yaani ni vikundi vingi ambao wanajihusisha na gambling na mambo kama niliyoyataja, unaweza ukapekuwa ukawajua hawa jamaa
 
Asante sana mkuu kwa kutupatia ukweli juu ya hawa machina na wamafia wa duniani
 
Hahaha wananunua kwa laki na nusu kama ni mnene
Mbwa sasa wapo hatarini sana
1462441395888.jpg
 
haa wacheni wabebe tu si wafadhili wa chama pendwa
 
Back
Top Bottom