Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM NI ILE ILEHapa bado sijaona utofauti wa serikali ya magufuri na kikwete
Hawa majamaa ni makatili sana,ukiwachilia mbali issue za kiuchumiMkuu nishawahi kusikia hii ya uuzaji wa human organs, familia za mashambani nyingi zinakiuka one child policy ya China ili kupata wafanyakazi wa mashambani. Watoto wa pili na kuendelea hawana documents za utambulisho wanapokamatwa na authorities wanachukuliwa wanatolewa organs apparently without anesthesia. A lot of journalists have tried to find proof lakini hawajaweza.
Ni wazi hawa watu hawathamini maisha ya binadamu sembuse ya wanyama na miti.
Hivi hata hiyo prostitution wapo pia?Hawa msipowaangalia watawapa dawa ya vichaa wanyama wetu halafu itatulazimu tuwauwe tu nao wapate meno.
Yaani hawa jamaa ni mafia dunia inawaangalia kwa jicho la tatu. Money laundering, prostitution, drug trafficking, you name it
Vibaya sana, tena kwa kuwauza ndio wenyewe yaani ni shidaaa hawa jamaa, London China Town ukiona ndio utajua hawa jamaa ni Mafia haswaHivi hata hiyo prostitution wapo pia?
Aisee kwa kuendelea kuwakumbatia hawa majamaa kisa ndio wafadhili basi tujiandae pia kujiandaa kisaikolojia wa kubakia sawana zanzibar wasiyo na hifadhi za wanyama labda tujiandae kuhifadhi kunguru ambao sidhani kama wachina wana soko huko chinaVibaya sana, tena kwa kuwauza ndio wenyewe yaani ni shidaaa hawa jamaa, London China Town ukiona ndio utajua hawa jamaa ni Mafia haswa
WACHINA NI WABAYA KULIKO WAHINDI WAPO, HAPA KWA FAIDA ZAO WENYEWE, BORA HATA WAHINDI WANATOAGA AJIRA KIMTINDO JAPO NI WANYANYASAJI ILA WACHINA WAKO KINYAKUZI ZAIDI.... KWANINI JPM ASIWE KAMA IDDI AMIN DADA KUWATIMUA WAENDE MAKWAOAisee kwa kuendelea kuwakumbatia hawa majamaa kisa ndio wafadhili basi tujiandae pia kujiandaa kisaikolojia wa kubakia sawana zanzibar wasiyo na hifadhi za wanyama labda tujiandae kuhifadhi kunguru ambao sidhani kama wachina wana soko huko china
Hawa jamaa utafikiri wana immune fulani mwilini wanakula kila kitu kinachotembea yaani hawali mawe tu.Aisee kwa kuendelea kuwakumbatia hawa majamaa kisa ndio wafadhili basi tujiandae pia kujiandaa kisaikolojia wa kubakia sawana zanzibar wasiyo na hifadhi za wanyama labda tujiandae kuhifadhi kunguru ambao sidhani kama wachina wana soko huko china
Aisee mkuu nashukuru sana kwa kunipa taarifa za uhakika za wachina,hivi kuna watu majangili zaidi ya hawa wachina?Hawa jamaa utafikiri wana immune fulani mwilini wanakula kila kitu kinachotembea yaani hawali mawe tu.
Na kwa ujangili ni wa tatu duniani wanatisha
Mimi nadhani ile mikataba 17 iliandikwa kichina aliyo isimamaia mkwere ikasainiwa kwa nusu saa bila hata ya kuisoma na kuielewa ndio inamtesa na MagufuliWACHINA NI WABAYA KULIKO WAHINDI WAPO HABPA KWA FAIDA ZAO WENYEWE BORA HATA WAHINDI WANATOAGA AJIRA KIMTINDO JAPO NI WANYANYASAJI ILA WACHINA WAKO KINYAKUZI ZAIDI KWANINI JPM ASIWE KAMA IDDI AMIN DADA KUWATIMUA
Baada ya miaka mitano ...nasikitikaTanzania itageuka jangwa !!!!
Kuna wababe wengi wa Mafia duniani wakiwemo kina Genovese huko New York ni kabila toka Colombia ni hatari na wapo Italian Mafia piaAisee mkuu nashukuru sana kwa kunipa taarifa za uhakika za wachina,hivi kuna watu majangili zaidi ya hawa wachina?
Yaani baada ya meno ya tembo na pembe za faru sasa wamegukia akina chekanae? mwisho binadamu tutang'olewa meno!
Hahaha wananunua kwa laki na nusu kama ni mneneHata mbwa wako hatarini ukitaka kujua hilo nenda popote machina alikoweka kambi
Asante sana mkuu kwa kutupatia ukweli juu ya hawa machina na wamafia wa dunianiKuna wababe wengi wa Mafia duniani wakiwemo kina Genovese huko New York ni kabila toka Colombia ni hatari na wapo Italian Mafia pia
Yaani ni vikundi vingi ambao wanajihusisha na gambling na mambo kama niliyoyataja, unaweza ukapekuwa ukawajua hawa jamaa
kwanini iwe jangwa kwa habari hii? amekamatwa na meno ya ngiri na siyo magogo au miti. labda ungehofu kupungua wanyama.Baada ya miaka mitano ...nasikitikaTanzania itageuka jangwa !!!!