Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #41
Nikweli kabisa mkuu lkn ujue kuwa hakuna utawala wowote hasa ktk nchi za afrika ambao wapo tayari kwa dhati hasa kuwapa elimu bora wanachi wake maana wanaelewa kuwa wananchi wakielimika ndio watakuwa chachu ya kuhitaji haki na hivyo kuwaondosha kwenye utawala waoWatu wakipata elimu hata hao viongozi wabinafsi wanaofumbia macho hawatoweza kuendelea na upuuzi wao!!Elimu tu basi ndio dawa yao