Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nyang'au maana kwetu anakupelekea moto sanaJifunze kuandika na kuzungumza kiswahili ewe nyang'au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyang'au maana kwetu anakupelekea moto sanaJifunze kuandika na kuzungumza kiswahili ewe nyang'au
Kwahiyo na wewe tukikukusanyia hizo parts utatuundia ndege?View attachment 2912633
Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu
Sasa katengeneza ni ni hapo
We cha kwako ulichoiga Kiko wapi mkuu?View attachment 2912633
Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu
Sasa katengeneza ni ni hapo
Kwamba ndege za kivita Mmarekani anaagiza engine zake Urusi? Sidhani. Hata Space Shuttle I doubt. Labda Satellite za uchunguzi na mawasiliano toka angani. Miaka mingi ilitumiwa Space Station ya Mrusi na karibia mataufa yote makubwaPamoja na uadui wa miaka mingi usa vs Russia, USA ndege zake za kivita na space shuttle, engine huwa anaagiza urusi[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We jamaa ukikurupuka unaandikaga makande sana aisee.
Toothpick umeshindwa kutengeneza nchini kwako mmebaki kumsema mchina mara iran, pole sanaView attachment 2912633
Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu
Sasa katengeneza ni ni hapo