Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

Au labda tusubirie mpaka yaanze kuuzwa used ndio bei zitakua rafiki
Ubaya wa gari ya umeme inapungua ufanisi kadri inavyozidi kutumika. Ukinunua gari ya umeme kama ilikuwa inaenda kilometre 400 ndio uchaji ikiwa mpya basi utapoinunua used itakuwa imepungua labda inaenda kilometre 200 kabla ya chaji kuisha.

Hii ni tofauti na conventional cars za fossil fuels. Ambapo hata likiwa limetumika ufanisi unakuwa upo zaidi ya 80% na yanadumu muda mrefu sana.
 
Aisee nimeshangaa kuona TRA hata kwa gari za umeme kodi bado iko juu balaa! Nimejaribu kuangalia Nissan Leaf (electric) ya mwaka 2012 gari inauzwa 4.5m ila kodi yake ni 9m!
Wapuuzi sana TRA yani gari za umeme wenzetu tozo ni kidogo mno ili ku encourage watu wazinunue kwa wingi wao wanakazania mabei juu. Huu upuuzi haukubaliki
 
Kenya mpaka july mwaka huu kuna jumla ya gari za umeme zilizosajiliwa 5000+,na pikipiki ndo balaa zaidi.

Tanzania bado tunajivuta saana,na nadhan mpaka sasa kuna kituo kimoja pekee za kuchajia gari za umeme ,kipo Dodoma.

 
Hiyo lithium haina mbadala? Sisi tunachotaka ni gari la umeme hata kama litatumia betri za kawaida mradi litembee. Na liwe linachajiwa kwa chaja za kawaida kama za simu mtu ukiwa nyumbani, ofisini, bar nk unapachika kwenye chaji!
Pole ni Jambo la kisayansi kaka lazima iwe lithium ni kama kusema kama China haiwezi zalisha wali sababu ya uchache wa mpunga basi watengeneze wali wa mahindi
 
Oya hio Li auto sio poa iko Sleek kinyama
 
Wapuuzi sana TRA yani gari za umeme wenzetu tozo ni kidogo mno ili ku encourage watu wazinunue kwa wingi wao wanakazania mabei juu. Huu upuuzi haukubaliki
Wanaona wakipunguza kodi magari ya umeme yakafurika watakosa biashara kwenye ma sheli yao. Kuwapa nchi wapiga dili ni kosa kubwa sana tulifanya.
 
Nadhani kama betri ikiisha unaweza ku replace nimeona betri za baadhi ya magari ya umeme zinauzwa.
 
Mbona China ndio inaongoza kwenye utengenezaji wa magari ya umeme?
Tatizo hayaji huku kutokana na bei
Afadhali wewe umesema Ndugu yangu.

Nilitaka kushangaa jamaa anaishi ulimwengu upi kutokujua kuwa [emoji630] inatengeneza magari hayo na yamefurika huko.

Kingine watu wasichokijua ni kuwa [emoji630] ipo standard ya dunia ya kwanza kwa.

Inafukuzana na [emoji631] kwa sasa.
 
So unatoa milion 11 kununu icho kigar mkuu
 
Ziko mapaka bajaji za solar zimejaa, shida kubwa nchi yetu hawaweki sera kuondoa ushuru au kupunguza kwa kiasi kikubwa gari za umeme au bajaji za solar ilikuhamasisha watu kuagiza kwa wingi. Fursa zipo.
Tanzania gari la umeme litahimili mgao wa umeme? Si utakuwa unalipaki kila siku ukitilia maanani kuwa huwezi kuchaji na umeme wa kawaida wa nyumbani?
Kwa mleta mada: China inatengeza magari mengi sana yanayotumia umeme. Europe kuna mabasi ya mjini mengi ya Yutong yanayotumia umeme.
 
Matako kwako ni kichwa hapa unatapika vinyesi tu
 
Uh! Hivi ndugu mkisikia kwamba "hii bidhaa imetoka china",mnawaza nini? Au mnawaza kama navowaza...
 
Yes hayo ni Maoni yako.

Lakini wao soko lao halikulengi wewe mwenye pesa kidogo... ukitaka gari la hivyo nenda kwa Masoud Kipanya, anatengeneza gari za hivyo. Muunge mtanzania mwenzetu.
hahahahaha daaaah! Apana, JF sitoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…