Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Kama namwona kihisia wanavyomu adamoo...virungu vya nyayo,shoti nk. doh!! alafu akaokotwe yaleee maeneo yetu
 
Hii tarehe (ijumaa tarehe 3 september 2021)mbona haipo,tarehe 3 september 2021 itakua jumapili.
huu ni mwezi october ina maana jumapili itakuwa october 3 atakuwa ametimiza mwezi
 
Labda siyo ya mwaka huu. Tarehe 3 September 2021 siku ya ijumaa haipo
 
Itakuwa? Ya mwaka ujao labda. Leo ni tarehe 2 October, 2021.
ina maana ameshikiliwa kwa karibu mwezi mzima hiyo tarehe tajwa ni kweli ilikuwa ni ijumaa mwezi uliopita ambao ni septemba na leo ni october 2hivyo kesho atakuwa na mwezi mzima akiwa lock up pasipo kufikishwa mahakamani
 
Waliomkamata wametumia PGO???
 
Vijana kuweni makini. Huo uhuru wa kutoa maoni mnaodhani upo huwa ni kiini macho tu. Kila mtu atumie akili zake vizuri kwenda sawa na utawala. Vinginevyo labda uwe umekata tamaa na ndoto zako ulizo nazo. Sio sifa kukaa jela.... kama kuna uwezekano wa kuepuka jela fanya hivyo.
 
Nasubiri nami ufafanuzi,Zama hizi watu wanajipofusha KWA ajili ya serikali iliyopo na ndo Mana dhana ya democracy inarudi KWA mtu kulingana na fasiri anayoijua mwenyewe.Huyu atakwambia tunanyanyswa na mwenzie hatoona,ikifika zamu yake naye atanyanyasa naye hatoona na mwisho wote wanakua hawajafata democracy hyo
 
Ndoto zako wewe ni zipi?
 

Mambo mengine jaman ya mtu kujitakia kabisa hivi unachora kitu kama hiki unategemea nn?

Huyu nae tupoteze muda wa kumwombea Kwa mungu?

Ah no way out
 
Tutaona mengi sana msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanikumbusha zamani kidogo kuna waziri mmoja akiitwa Nyanda......naye alijaribu sana "kupambana" na wachora katuni bila mafanikio.

Ngoja tuone.....ni ugaidi, uhujumu uchumi ama nini!
 
Taifa lisilo na uongozi unaojiamni...si ajabu haya kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…