Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Kama namwona kihisia wanavyomu adamoo...virungu vya nyayo,shoti nk. doh!! alafu akaokotwe yaleee maeneo yetu
 
Hii tarehe (ijumaa tarehe 3 september 2021)mbona haipo,tarehe 3 september 2021 itakua jumapili.
huu ni mwezi october ina maana jumapili itakuwa october 3 atakuwa ametimiza mwezi
 
Labda siyo ya mwaka huu. Tarehe 3 September 2021 siku ya ijumaa haipo
 
Itakuwa? Ya mwaka ujao labda. Leo ni tarehe 2 October, 2021.
ina maana ameshikiliwa kwa karibu mwezi mzima hiyo tarehe tajwa ni kweli ilikuwa ni ijumaa mwezi uliopita ambao ni septemba na leo ni october 2hivyo kesho atakuwa na mwezi mzima akiwa lock up pasipo kufikishwa mahakamani
 
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi.

Oppter anafahamika kwa katuni zake zenye ujumbe wa kukosoa serikali.

View attachment 1960305 mchoro wa Katuni uliomuingiza matatani

View attachment 1960306 ukurasa wake wa Instagram
Waliomkamata wametumia PGO???
 
Vijana kuweni makini. Huo uhuru wa kutoa maoni mnaodhani upo huwa ni kiini macho tu. Kila mtu atumie akili zake vizuri kwenda sawa na utawala. Vinginevyo labda uwe umekata tamaa na ndoto zako ulizo nazo. Sio sifa kukaa jela.... kama kuna uwezekano wa kuepuka jela fanya hivyo.
 
Mheshimiwa Oppter kazi yako ni nzuri sana.Mungu akubariki sana.

AgUzp6.jpg
 
labda uko sahihi lakini naona tofauti yao zaidi ni kuwa kipanya ni maarufu hata akifinywa tunajua na huyu ndio anachipukia ndiyo maana imechukua karibu wiki kadhaa kujulikana aliko na hii ina maana kuwa hata humu jf kwa majina yetu yasiyo ya kweli unaweza potea na mtu asijue uliko kitu amabacho nikitisho cha uhuru wa kutoa maoni kama tulikimea wasiojulikana wakatibwa jpm kwanini tuna sugar coat wakati huu kujustfy vitendo viovu?
#free Cartoonist Oppter
Nasubiri nami ufafanuzi,Zama hizi watu wanajipofusha KWA ajili ya serikali iliyopo na ndo Mana dhana ya democracy inarudi KWA mtu kulingana na fasiri anayoijua mwenyewe.Huyu atakwambia tunanyanyswa na mwenzie hatoona,ikifika zamu yake naye atanyanyasa naye hatoona na mwisho wote wanakua hawajafata democracy hyo
 
Ndoto zako wewe ni zipi?
Vijana kuweni makini. Huo uhuru wa kutoa maoni mnaodhani upo huwa ni kiini macho tu. Kila mtu atumie akili zake vizuri kwenda sawa na utawala. Vinginevyo labda uwe umekata tamaa na ndoto zako ulizo nazo. Sio sifa kukaa jela.... kama kuna uwezekano wa kuepuka jela fanya hivyo.
 
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi.

Oppter anafahamika kwa katuni zake zenye ujumbe wa kukosoa serikali.

View attachment 1960305 mchoro wa Katuni uliomuingiza matatani

View attachment 1960306 ukurasa wake wa Instagram

Mambo mengine jaman ya mtu kujitakia kabisa hivi unachora kitu kama hiki unategemea nn?

Huyu nae tupoteze muda wa kumwombea Kwa mungu?

Ah no way out
 
labda uko sahihi lakini naona tofauti yao zaidi ni kuwa kipanya ni maarufu hata akifinywa tunajua na huyu ndio anachipukia ndiyo maana imechukua karibu wiki kadhaa kujulikana aliko na hii ina maana kuwa hata humu jf kwa majina yetu yasiyo ya kweli unaweza potea na mtu asijue uliko kitu amabacho nikitisho cha uhuru wa kutoa maoni kama tulikimea wasiojulikana wakatibwa jpm kwanini tuna sugar coat wakati huu kujustfy vitendo viovu?
#free Cartoonist Oppter
Tutaona mengi sana msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanikumbusha zamani kidogo kuna waziri mmoja akiitwa Nyanda......naye alijaribu sana "kupambana" na wachora katuni bila mafanikio.

Ngoja tuone.....ni ugaidi, uhujumu uchumi ama nini!
 
Taifa lisilo na uongozi unaojiamni...si ajabu haya kutokea.
 
Back
Top Bottom