kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Kama namwona kihisia wanavyomu adamoo...virungu vya nyayo,shoti nk. doh!! alafu akaokotwe yaleee maeneo yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana kulipata……!Mwana kulitafuta........!
Itakuwa? Ya mwaka ujao labda. Leo ni tarehe 2 October, 2021.Hii tarehe (ijumaa tarehe 3 september 2021)mbona haipo,tarehe 3 september 2021 itakua jumapili.
huu ni mwezi october ina maana jumapili itakuwa october 3 atakuwa ametimiza mweziHii tarehe (ijumaa tarehe 3 september 2021)mbona haipo,tarehe 3 september 2021 itakua jumapili.
ina maana ameshikiliwa kwa karibu mwezi mzima hiyo tarehe tajwa ni kweli ilikuwa ni ijumaa mwezi uliopita ambao ni septemba na leo ni october 2hivyo kesho atakuwa na mwezi mzima akiwa lock up pasipo kufikishwa mahakamaniItakuwa? Ya mwaka ujao labda. Leo ni tarehe 2 October, 2021.
Waliomkamata wametumia PGO???Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi.
Oppter anafahamika kwa katuni zake zenye ujumbe wa kukosoa serikali.
View attachment 1960305 mchoro wa Katuni uliomuingiza matatani
View attachment 1960306 ukurasa wake wa Instagram
Huo ni mwanzo tu wapo wengine watakao kamatwa...
Kwanini wazuie huru wa kutoa maoni.
hamna PGO hapo zaidi wametumia CGO (CCM GENERAL ORDERS)Waliomkamata wametumia PGO???
Nasubiri nami ufafanuzi,Zama hizi watu wanajipofusha KWA ajili ya serikali iliyopo na ndo Mana dhana ya democracy inarudi KWA mtu kulingana na fasiri anayoijua mwenyewe.Huyu atakwambia tunanyanyswa na mwenzie hatoona,ikifika zamu yake naye atanyanyasa naye hatoona na mwisho wote wanakua hawajafata democracy hyolabda uko sahihi lakini naona tofauti yao zaidi ni kuwa kipanya ni maarufu hata akifinywa tunajua na huyu ndio anachipukia ndiyo maana imechukua karibu wiki kadhaa kujulikana aliko na hii ina maana kuwa hata humu jf kwa majina yetu yasiyo ya kweli unaweza potea na mtu asijue uliko kitu amabacho nikitisho cha uhuru wa kutoa maoni kama tulikimea wasiojulikana wakatibwa jpm kwanini tuna sugar coat wakati huu kujustfy vitendo viovu?
#free Cartoonist Oppter
Vijana kuweni makini. Huo uhuru wa kutoa maoni mnaodhani upo huwa ni kiini macho tu. Kila mtu atumie akili zake vizuri kwenda sawa na utawala. Vinginevyo labda uwe umekata tamaa na ndoto zako ulizo nazo. Sio sifa kukaa jela.... kama kuna uwezekano wa kuepuka jela fanya hivyo.
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi.
Oppter anafahamika kwa katuni zake zenye ujumbe wa kukosoa serikali.
View attachment 1960305 mchoro wa Katuni uliomuingiza matatani
View attachment 1960306 ukurasa wake wa Instagram
Tutaona mengi sana msimu huulabda uko sahihi lakini naona tofauti yao zaidi ni kuwa kipanya ni maarufu hata akifinywa tunajua na huyu ndio anachipukia ndiyo maana imechukua karibu wiki kadhaa kujulikana aliko na hii ina maana kuwa hata humu jf kwa majina yetu yasiyo ya kweli unaweza potea na mtu asijue uliko kitu amabacho nikitisho cha uhuru wa kutoa maoni kama tulikimea wasiojulikana wakatibwa jpm kwanini tuna sugar coat wakati huu kujustfy vitendo viovu?
#free Cartoonist Oppter
Kosa kwanini hakuchora katuni za watoto? Watoto wa Ostabei wamemshitaki polisi.Sijaona kosa hapo huo ni mtazamo wake tu mbona
Na wapinzani tunamsusia sasa maana hana msimamo [emoji23][emoji23]Jamaa huwa anatukana wapinzani sana kwenye katuni ila mwendazake alivyofariki tu akaanza ku deal na serikali