Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Kwa nini tukiwachora upinzani with direct punch hakuna kushughulikiwa?

Hata sisi tunastuka sasa. Kutumika kukandamiza upande mmoja HATUTAKI.

Tutaendelea kubalansi katuni zetu
You must be wrong in order to be right so All is upon you.
 
Wampeleke mahakamani watuambie wametafsiri vp hiyo katuni
 
Inanikumbusha zamani kidogo kuna waziri mmoja akiitwa Nyanda......naye alijaribu sana "kupambana" na wachora katuni bila mafanikio.

Ngoja tuone.....ni ugaidi, uhujumu uchumi ama nini!
Kuna walimchora akiwa anaipiga marungu picha ya harusi yake aki-shout kwa mke wake kwamba "nimesema sitaki katuni humu ndani"
 
Kuna walimchora akiwa anaipiga marungu picha ya harusi yake aki-shout kwa mke wake kwamba "nimesema sitaki katuni humu ndani"
Aliomba poo na ushkaji ukarudi
 
Aisee wasije wakawa wanamtoboa na bisi bisi tu
 
Nataka kuanza kuchora katuni roho inasema acha tu.
 
Ni kazi ngumu sana na isiyo wezekana kabisa kuwaziba midomo watu wazima na akili zao!

hahaaa lakini kanuni inasema ole wako uwe wa mfano[emoji1][emoji1].

wakati mwingine ni haramu kutafuta ugali kupitia njia yoyote tu.
tunaweza kudhani wewe ni mwanamabadiliko kumbe,ni njaa inakuongoza kufanya unayoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…