MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hakuna ulazima wa wewe kujua ndoto zangu.Ndoto zako wewe ni zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ulazima wa wewe kujua ndoto zangu.Ndoto zako wewe ni zipi?
soma vizuri ameandika kiwete sasahuyo kiwete ni nani ?sema nayeye artist bhana ameshindwa kutumia strong tafsida anaandika kabisa amejiachia kabisa artist wa katun unatakiwa uwe Genius Kama kipanya kipanya amepita Salama kipind kile kwa Sababu ya kuji hides
Let me do this for my bebe..[emoji3526]Just tell me the mistake maana kachora vikatuni kwa hisia sana
Unaongea hisia zakoLet me do this for my bebe..[emoji3526]
Ni kweli, Katiba ya JMT imebainisha haki ya kutoa maoni. Lakini hakuna haki isiyo na mipaka. In other words, yaani siyo tu kwasababu Katiba imekuruhusu kutoa maoni yako ndiyo ujiachieee mpaka uwajeruhi wengine, lazima uwe na kiasi kwani haki yako inapoishia ndiyo haki ya mwenzako inapoanzia.
Sasa ikumbukwe kwamba Urais ni Taasisi. Na kila Mamlaka imetoka kwa Mungu (Warumi 13). Katuni za huyo jamaa, kwa mfano hiyo ya mama anapiga ngoma halafu yupo na JK...hiyo ni lugha ya picha na ina tafsiri kwamba mama ni DHAIFU, eti JK ndiyo anaongoza nchi kwahiyo mama anaendeshwa tu! In Law this is termed as defamation, which is defined as ruining the reputation of another, sasa siyo 'another' kama mimi an ordinary civilian, huyo ni Rais wa nchi (Amiri Jeshi Mkuu), kwahiyo hapo ameidhalilisha Taasisi ya Urais.
Sasa hii defamation inaweza kuwa slander (kwa maneno) au libel (kwa maandishi including CARTOONS).
Bebe nadhani umenielewa kidogo. Ajifunze kwa mwenzake KP (Masoud Kipanya), yule kumkamata ni shughuli manake Katuni zake kuzielewa ni mtihani!).
Ameficha kitoto Sana mkuusoma vizuri ameandika kiwete sasahuyo kiwete ni nani ?
You nailed it, kwa mtazamo wangu hapo waliomkamata mchoraji ndiyo walitakiwa kukamatwa, hivi tangu lini kumchora mwanasesere amevaa ushungi mwekundu ni kosa? Au kuandika mlemavu wa miguu anayesota ni kosa? Au wamshitaki kwa kuchora bendera ya taifa kwenye sufuriaUnaongea hisia zako
Kweny hisia zako kumekosekana facts
Umeitafsiri katuni kwa mlengo wako
Form four failure ndio sifa kubwa ya kuajiriwa polisi si mmeliona tangazo lao LA ajiraHao waliomkamata huwenda hawana akili au ni machizi kabisa
Hajamchora kiongozi amechora katoto, je kuchora katoto kanachezea maji ni kosa? Kwani viwete siyo watu?Yaani umwite mtu kiwete, halafu umchore kiongozi wa nchi kama katoto kanakochezea maji ya beseni
Embu acheni kupongezana ujinga.You nailed it, kwa mtazamo wangu hapo waliomkamata mchoraji ndiyo walitakiwa kukamatwa, hivi tangu lini kumchora mwanasesere amevaa ushungi mwekundu ni kosa? Au kuandika mlemavu wa miguu anayesota ni kosa? Au wamshitaki kwa kuchora bendera ya taifa kwenye sufuria
Kwa akili yako huyo ni rais?Yaani kumchora raisi wa nchi, kama katoto kadogo kanakochezea beseni huo kwako ni utani.
Dogo ande stick na kuchora cover za nyimbo
Kuchora siasa Hana hiko kipaji
Katuni zake zinakuwa hazina adabu
Symbolic ni dharau.Hajamchora kiongozi amechora katoto, je kuchora katoto kanachezea maji ni kosa? Kwani viwete siyo watu?
The resemblance is obvious; we nawe unatakiwa kunyofolewa kucha huna adabu.Kwa akili yako huyo ni rais?
Mtu akichora ushungi mwekundu amemchora rais?
🖕The resemblance is obvious; we nawe unatakiwa kunyofolewa kucha huna adabu.
Ni mwehu tu anaeweza tetea ujinga ule; sio kwa sababu ya nafasi za waliochorwa kwa nafasi zao; hila namna walivyochorwa.
Bila ya kunyofoa kucha hata moja wahusika watakuwa wametukosea sana.
Tukosoe viongozi wetu, kwa mila zetu.
🖕Symbolic ni dharau.
Mama Samia ni amiri jeshi wa Tanzania.
Halafu wewe umchore kama katoto kanachochezea maji kwenye beseni; huku kabaimba ‘baba x 2’ yaani umemdharau raisi wetu.
Kwa kweli hapana, nyofoa kuja moja.
Kama awezi tukana wazazi wake, basi asitutukanie ‘Amiri Jeshi’ wetu dogo haba adabu.
Sio kila kitu lazima tuige kutoka magharibi; lazima tutunze desturi zetu.
Mh. SSH sio raisi tu watanzania, bali ni mzazi na bibi; kwa mila zetu atutukani wazazi kwa namna jamaa alivyowachora.
Nyofoa kucha, shenz type.
Ni hivi binafsi siwezi kukujaribu wewe uweke picha fulani ya wazazi wako katika mazingira fulani.