TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

Issue ya corona kwa Magufuli tatizo zinatumika hisia hakuna hata dalili au ishara yeyote yenye kufanya tuseme labda itakuwa corona matokeo yake zinatajwa sababu za kudharau corona kitu ambacho huku mitaani hao wanaodharau corona wamejaa kibao ila wapo hai hadi na hawajawahi hata kuumwa hiyo corona, kwahiyo ndio yaleyale tu. Kuna muda watu walisema kachanja chanjo ya wachina kisirisiri na wakati mwengine walisema hadi kwamba alikuwa anakimbia Corona kwa kwenda kujificha Chato, kwahiyo utaona watu walianza muda tu kuzua mambo.
 
Ajali za moto zipo popote, tuache kujengea watu hofu za uongo.
Mitume hawadhihakiwi bro_je hukuona kilichomkuta firaun kwa kumpinga mussa? Hukuona kilichomkuta Nemrod?
Je huwaoni kilichowakuta wayahudi kuwapinga mitume?
Je Mke wa Luty kilimkuta kipi?
 
Naulinzi wote lakini unaishia kifo cha aibu.
Tujitahidi kuishi maisha ya kawaida, usipende kuwaudhi binadamu wenzako.
Kuna msemo unasema mate ya watu siyo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…