Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% Excellent! Tupe number yake, tumpe kazi huyu kijana.Tazama kipaji kikubwa cha Mchoraji huyu kutoka Tanzania anayechora kwa kutumia vifaa vya ndani ya nchi yetu
View attachment 1761303
lilikuwa linatumia mavideo si ndio hilo 😀 😀Lilikuwa linanikera lile SANII UCHWALA la Iringa, lililokuwa linajiita JPM!
Masudi Kipanya anasemaje?
Nilicho penda mchoraji naye anaonekana ktk picha aliyoichora. Analinda haki miliki ya kaziyake naye kwa kuonekana ktk kazi yake
Unoko, 100% hapo
Duuh wewe unaweza kuchora? Au kisa upo nyuma ya keyboardHamna kitu hapo, nampa 28%