Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

92%
Zilizobaki ni namna ya kufanya decorations /make up ndio maana anaendelea kukamilisha kwa uzuri.
 
Huyu ni artist kweli nampa 99.9%,siyo yule wa tapeli Kigwangalla na Sanamu ya Jk Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…