Ungechukua fomu ugombee ili kuondoa hiyo dhana!Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Wakikujibu niamsheKanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Kamwulize nokho!Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Hujajibu swali bwashee!Ungechukua fomu ugombee ili kuondoa hiyo dhana!
Kwenda!Hujajibu swali bwashee!
Hahahaaa........ngoma ni Mmachame vs Mrombo!Kwenda!
Ko wapi hiyo orodha?!Hao ndio walioteuliwa na Kamati Kuu kugombea Katika uchaguzi wa Kanda mbalimbali za Chama nchini.
Itakuwa Sugu na Msigwa!Kanda ya nyasa wagombea kina nani?