Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Sababu ni nn hadi wanyooshwe?Wachaga safari hii wananyooshwa vikali na wasukuma
Sababu ni nn hadi wanyooshwe?Wachaga safari hii wananyooshwa vikali na wasukuma
Leo umemtambua Cecil Mwambe kama mbabe wa siasa?! Ama kweli.Kanda ya Kusini nako si haba kwani wababe wawili wa siasa za kusini Suleiman Mathew na Cecil Mwambe wanachuana kugombea uenyekiti.
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Bora hiyo chadema inayosema ina ukabila lakini haina serikali kuliko jiwe mwenye serikali ya kikabilaKanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Mimi niko machame bwashee!Kwanini usiende ww kugombea jinga kabisa
Kumbe upo hivi? Sikujua!Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Umeambiwa baada ya mchujo " mkali" ndio wamepatikana Lema na Selasini!Kumbe upo hivi? Sikujua!
Walizuiwa?
Kabila na uchaguzi ndani ya chama cha siasa vina husiana vipi? Si nia njema kuingiza ukabila katika mambo ya umoja wa kitaifa.Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Kuzungumzia ukabila ni kufilisika kisiasaKanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Acha poroji za uongoUchaguzi wa uwongo watu wa makao makuu wanachagua na kupitisha hata walioshindwa kwa kigezo cha maagizo kutoka kwa mbowe na ukabila juu pale morogoro lijualikali alishinda mkampa Devotha minja kisa ni mchaga
State agent
Hili ni swali zuri.Sumaye bado anataka nini? duh!
Uchaguzi wa uwongo watu wa makao makuu wanachagua na kupitisha hata walioshindwa kwa kigezo cha maagizo kutoka kwa mbowe na ukabila juu pale morogoro lijualikali alishinda mkampa Devotha minja kisa ni mchaga
State agent
Mkuu navyojua Cecial Mwambe na Methew ni kabila moja vp huko kusini nako hamna kabila lingine?Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!
Nauliza tu kwa nia njema!
Unavyo vigezo vya mchujo huo hadi kuhitimisha ulivyofanya?Umeambiwa baada ya mchujo " mkali" ndio wamepatikana Lema na Selasini!