Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

Mkuu, kanda ya serengeti ndio ipi hiyo? Maana heche na matiko wote wanatokea Tarime. Mmoja Tarime mjini mwingine Tarime vijijini. Hii ni sawa na kusema Kenyatta na Odinga wanachuana kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania
Mkoa wa Mara uko katika Kanda ya Serengeti yenye mikoa kadhaa
 
Meya wangu mh.Chief kalumuna,HIVI KWELI CCM HURUDI KABISA
 
Back
Top Bottom