Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

Kwahiyo mwenyekiti wa chama kitaifa haruhusiwi kugombea unyekiti kikanda?au katiba haimruhusu au kawapa fursa wengine Wagombee pia
 
Uchaguzi mwema makamanda.
Bwn awatangulie!!
Msiogope vitisho Bwn awazingile na ukuta wa ulinzi wake!
Uchaguzi huu ukamilike kwa amani!!
 
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!
Iyo kanda watu wa huko wana Degree 4 za asili kabila lingine haliwezi kuishi huko ni kazi sana hasa kama una Degree 4 za kuunga unga feki!
 
Tukisema CHADEMA muache ukanda mnatukana

""Ikumbukwe kwa mujibu wa Katiba ya Chadema washindi wote wa nafasi ya Uenyekiti wa Kanda moja kwa moja watahesabika kama wajumbe wa Kamati Kuu.""
 
Mbona naona majina ya watu tuliowazoea na wabunge, ningetamani kuwe majina mapya kwa ukuaji endelevu, ni mawazo yangu lakini.
 
Zabron Hamis

Swali hapa lilikuwa linahusu kanda ya Serengeti. Wewe unazungumzia mkoa wa Mara. Zero kabisa. Uwe unaelewa swali kwanza kabla ya kujibu.
 
Kwahiyo wewe unaona una iq kubwa sana kwakusema kanda ya serengeti haina wanacdm. Tatizo letu ni kufikiri kuwa kila anayetoa mawazo tofauti, ni chadema. Jibu hoja kistaarabu mkuu
Swali hapa lilikuwa linahusu kanda ya Serengeti. Wewe unazungumzia mkoa wa Mara. Zero kabisa. Uwe unaelewa swali kwanza kabla ya kujibu.
 
Umeona katika uteuzi huo section inayotaja kabila?
Propaganda za kitoto sana hizo, ulitegemea kanda ya kaskazini kuona Mfipa anagombea?
Hahahaaa........ Hahahaaa...... Umsema kweli itakuwa maajabu Mfipa kugombea kanda ya kaskazini!
 
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
 
Si lazima kuweka Post wakati ubongo ikiwa likizo, nani alikuambia elimu ni digirii! Unamaana watu wote wasio na digirii hawana elimu! Wewe ni mjinga na mpumbavu.
 
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Wasomi wetu wanasema wameokotwa majalalani
 
Back
Top Bottom