Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

Si lazima kuweka Post wakati ubongo ikiwa likizo, nani alikuambia elimu ni digirii! Unamaana watu wote wasio na digirii hawana elimu! Wewe ni mjinga na mpumbavu.
Chadema as usual you don't walk what you talk.Matapeli wakubwa na walagai mnasema ohh kipau mbele elimu halafu mnaingia mitini afadhali 2015 hamkupewa uraisi.kumbe mlitumia tu Kama gia ya kutapeli wapiga kura
 
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Nani alikuambia degree ndio elimu pekee? Mbona kuna watu wana degree zaidi ya moja ila ni maboya? Kuna watu wana PhD lakini wakizungumza mambo ya kielimu hawana tofauti na wanafunzi wa darasa la saba B?
Kama elimu iliyozungumziwa na Chadema unadhani ni hiyo ya kuhudhuria madarasani, Ku tamper na mitihani kisha kutundika mavyeti ukutani basi umekosea sana.
Na usinichokoze maana naweza kutiririka maajabu ya elimu hiyo ya watu wenye PhD lakini ni kituko!
 
..na CCM mlisema kipaumbele chenu ni VIWANDA.

..kwa hiyo mchague MWENYEKITI anayemiliki VIWANDA
Sasa mkuu unabisha? Ndio ana viwanda tena sio kiwanda pekee.
Viwanda vya UONGO (kama alivyosema JK) na viwanda vya CHUKI na WIVU.
 
Chadema as usual you don't walk what you talk.Matapeli wakubwa na walagai mnasema ohh kipau mbele elimu halafu mnaingia mitini afadhali 2015 hamkupewa uraisi.kumbe mlitumia tu Kama gia ya kutapeli wapiga kura
Kwa hoja za umalaya tuambie wewe unapendekeza madigrii mangapi? Yule mwenye madigrii hadi ya kupewa anatuelekeza kibla. Kwani Lumumba mna wenye madigrii wa ngapi humu mtandaoni?
 
Chadema as usual you don't walk what you talk.Matapeli wakubwa na walagai mnasema ohh kipau mbele elimu halafu mnaingia mitini afadhali 2015 hamkupewa uraisi.kumbe mlitumia tu Kama gia ya kutapeli wapiga kura
Uandishi wako wa maneno unaonesha ubovu wako kwenye lugha, anza na kipau umbele! Haya ni maneno mawili tofauti.
Walagai! Tafsiri maana ya neno hili.
Niliposema ni mjinga na mpumbavu sikukosea.
 
kuweka kumbukumbu sawa
Mbowe aliwahi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005 kupitia chadema dhidi ya ccm na kikwete

kwa maana hiyo, huwezi kugombea urais hapa nchini kama huna digri moja na kuendelea, Mbowe degree anayo

i stand to be corrected
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
 
Naona ugonjwa wa Ant-Mbowe Syndrome unakitesa sana Chama cha Mapinduzi! Ndiyo maana mnaogopa Uchaguzi huru na Haki.
 
Mnadhani Mbowe akitoka Chadema kitafutika? Mlidhani mkiwazuia mikutano watafutika kumbe wamekuwa stronger! Mkaweka mpira kwapani mkiogopa mtashindwa kama mlivyoshindwa 2015 mkapora na goli la mkono!
Sasa mnataka Mbowe aondolewe mkiwa na hope kubwaaaaa kuwa chadema kitafutika bila Mbowe, mwana mtulivu mwenye mikakati!
La hasha,! Halitafutika kamwe kwani iko katika mioyo ya watu!
Hivyo Mbowe akikubalika na wajumbe wa cha chake mwacheni aendelee!
Hofu ya nini mafisi mna policcm!
 
Elimu kubwa zaidi ni kukataa kuipigia CCM magoti iwe kwa kununuliwa iwe kwa kuharibiwa vitega uchumi vyako jibu liwe hapana sikotayari kuuza utu wangu kwa kuisujudia CCM.
 
' Hata kama hana DEGREE lakini ANACHAPA KAZI, AMEWASHINDA CCM KUMNUNUA, ANAKEMEA MAJIZI NA MAFISADI CCM, huyu ndie anaeifaa CHADEMA, si afadhali mbowe ana vyeti...haaaaaaaaa!
 
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Kama kipau mbele chao ni elimu na kama unafikri Mbowe ana elimu ndogo ya darasani ujue kuwa CHADEMA wana maarifa ya kuwapeleka watanzania kwenye elimu bora kumshinda mwenye elimu ya PHD.
 
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Kuna watu wana PhD lakini wanakiri kuwa wao hadhi yao ni jalalani.
FB_IMG_1573956529213.jpeg
FB_IMG_1573890013567.jpeg
 
Hivi Degree umeona ni elimu kubwa saana.. Punguza basi porojo mkuu
 
Jina: John Heche
Wadhifa: Mbunge jimbo la Tarime vijijini
Nafasi anayogombea: Mwenyekiti wa Chadema kanda ya serengeti.

Hakika cdm kanda ya serengeti haitotikisika hata kwa mizinga mbele ya kamanda mpambanaji mh Heche.
Screenshot_20191126-132815.jpeg
 
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!
Makabila yapatikanayo kanda ya kaskazini ni kheri ujue kwanza ni mikoa mingapi inaunda kanda nzima, Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara na mikoa hii ina makabila mengi sana na sio wachagga pekee. Wapare, Wasegeju, Wabondei, WaIraaq, Wameru, Waarusha, Watindiga, Wabarbeig, Wamasai, Wasambaa n.k
 
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!

Wagombea wa kanda ya kaskazini:
  1. Lema
  2. Selasini
  3. ole Koimere
  4. Komba
  5. Landey
  6. Bahweje
  7. Massawe
  8. Girdaya
  9. Mollel
  10. Mphare
Wachagga ni % ngapi kwenye hiyo list? Nimeona Lema, Selasini na Massawe. Kumbe hata wakiwa 3 kati ya 10 bado hawatakiwi? Sumu ya ubaguzi inakutafuna!
 
Back
Top Bottom