Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

Sasa mbona kwenye comment yako ni kama umeshaconclude kuwa atamsikiliza zaidi Mchungaji (ataharibika), regardless Mchungaji anaongea maneno ya Mungu au laah?
Siyo kila anayofundisha ni maneno ya mungu, mengine ni maneno yao binafsi..kwani hujawahi kusikia wachungaji wanaoharibu kondoo?
Ud
 
Sasa mbona kwenye comment yako ni kama umeshaconclude kuwa atamsikiliza zaidi Mchumgji regardless Mchungaji anaongea maneno ya Mungu au laah? Ud
Kwenye andiko lake kaandika nabii ndiyo kambadilisha huyu mwanamke Tena kawa mjinga wa mwisho...sasa huoni kuwa atazingatia zaidi maneno ya huyo nabii either ya maana au yasiyo na maana na kupuuza atayoambiwa na huyo bwanaake? Ndiyo maana nimeconclude hivyo atamsikiliza mchungaji ambaye amembadilisha.
 
Nabii amembadilishaje kama sio kumuhubiria neno la Mungu na yeye akaona ni kweli, hivyo akaamua kubadili njia zake? Kawa mjinga wa mwisho kuamua kulifuatisha neno la Mungu?
 
Haswaa, sasa unaishi nyumbani kwa mtu hutaki kutoa kisa umeokoka[emoji16][emoji16] dunia hii haiishiwi vituko
Na nyumbani hataki kuondoka khaaa. Mwishowe ataanza kulala na jeans[emoji102][emoji102]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Dada mlokole anahukumiwa bila kusikiliza utetezi wake, vipi kama aligundua kuwa mchumba wake ana mchepuko (kwa maelezo ya mleta mada ana mchepuko unao mkojoza kipindi chote cha mpito, alimpata lini?) akaamua kujiingiza kwenye maombi ili Mungu amuonyeshe matendo halisi ya mchumba wake?
Maombi yamejibu... Halelujaaa...
 
Hapana; whatever reason iliyompeleka kanisani ni sawa; coz amempokea Kristo. Tulichopinga hapo; anataka aishi maisha ya kilokole ilhali bado anaishi na mwanaume anayemuhudumia kama mke: ila papuchi yake hataki kutoa. Huo ni uhuni: aache vyote kweli asimame na Mungu. Uzinzi sio sawa; ila pia kuishi kinyumba na mwanaume ambaye hajakuoa sio sawa.
 
Sawa Baba katekista [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti! Sasa kama mnaishi pamoja mengine anagoma vipi? Kwanini msiende kwa Mchungaji awepe ushauri? Eti baba katekista [emoji23]!
 
Nabii amembadilishaje kama sio kumuhubiria neno la Mungu na yeye akaona ni kweli, hivyo akaamua kubadili njia zake? Kawa mjinga wa mwisho kuamua kulifuatisha neno la Mungu?
Sasa Hilo swali la kuwa mjinga wa mwisho anatakiwa kujibu mtoa mada.
 
Vitu vingine huwa ni akili ya mtu , watu wana omba na kusali lakini vitu vingine vinaendelea kama kawaida
 
Ulokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.
Hapo sasa mlokole wako na huyo Mchungaji wake nawewe mngekaa pamoja na mkashauriwa yapasayo kufanya, mbona watu wanaishi mke mlokole na Baba mpagani na maisha yanasoga Baba anapata maombi mpaka naye anasimama kwa Mungu? Kaeni chini labda kama kichwa chake si kizuri
 
Mjinga tu huyo,anaishi kwenye ndoa ya mkeka then anajifanya kusali...,..kanisa gani linaruhusu kuishi na mwanaume? Inawezekana nayeye amepata mchepukaji akirudi amechoka
 
Hawa ndiyo wanafanya wanawake walokole wadharaulike kumbe ni umamuma wao!
 
Una enjoy mwisho anakuchoka na kukimbia, kama ana nia yakua pamoja kwanini msiende kwa Mchungaji akawapa ushauri!
 
Ulokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.
Ndiyo aondoke akasali vizuri, labda kama wewe ndiyo amekuhifadhi hapo anamaamuzi ya kufanya hivyo,ila kama wewe ndiyo provider wa kila kitu hawezi fanya huo ujinga
 
Nabii amembadilishaje kama sio kumuhubiria neno la Mungu na yeye akaona ni kweli, hivyo akaamua kubadili njia zake? Kawa mjinga wa mwisho kuamua kulifuatisha neno la Mungu?
Hajui kama huo ulokole wa mwenzie naye unamsaidia hata yeye kwa maombi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…