Mchumba anahitajika hapa

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mimi ni tajiri, sina vigezo kama wengine dini yeyote lakini awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote.

Atakayeguswa na hili andiko aje PM.
 


Chezea Madini hahahahahahahahahahahahahah
 
Ndg yangu madini tena ungesubili hili sakata la madini liishe kwn swala la madini duuuuu....!!!!?????
 
Ha ha ha unataka msukule nn mana madini nayo.
 
Mkuu hapo nimeshindwa kuelewa. Unahitaji mke au partiner wa biashara????

Anyway subiri wakupm na nakutakia mafanikio mema mkuu.
 
Ngoja niende tukafurahie hela za madini kimwisho mwisho kabla hazijapigwa ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…