Mchumba anahitajika hapa

Mchumba anahitajika hapa

Una hela za kubadilisha mboga mkuu acha kudanganya watu.
Uwe na hela uje kuandika jamiiforums kutafuta mchumba?

Sema unatafuta demu wa kufanya nae ngono
 
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mimi ni tajiri, sina vigezo kama wengine dini yeyote lakini awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote.

Atakayeguswa na hili andiko aje PM.
Njoo nikuwowe
 
Mmmh sijui niende
 
Kweli yan nitazitunza tu mchumba ucjar
 
Wenye hela wanafuatwa wenyewe ata hawatafuti mtu
 
Back
Top Bottom