tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,620
- 971
Where are you?????Nyumbani mara nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Where are you?????Nyumbani mara nyingi
Njoo nikuwoweMimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mimi ni tajiri, sina vigezo kama wengine dini yeyote lakini awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote.
Atakayeguswa na hili andiko aje PM.
wapi huko?Tajiri wa Acacia atangaza nafasi adhimu Kwa akina dada. Hii ni baada ya kukoswa koswa na jambia la Magufuli.
Nenda Pm ya mtoa post umuulizewapi huko?
Mmmh sijui niendeMimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje tufurahie maisha mimi ni tajiri, sina vigezo kama wengine dini yeyote lakini awe mdada asiwe na roho mbaya yeyote.
Atakayeguswa na hili andiko aje PM.
Ila me sitaki kudo mpaka ndoa are u ready? Ila huduma nyengine eti utakuwa unanipa km ela?Njoo usiogope
😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱 😱Hela na mm nitakuwa nakutunzia mpka tutapo funga ndoa