Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
π Bibi yangu alisema ukiishi sanaa utaona mengi , kweli kbsaa. Ndo Karne tulonayo, mambo yamegeuka. Jishikilie kijana usifanye uzinziWanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono
Yaani mwanamke ameniambia kama hatutafanya ngono amesema tuachane sasa nimeshindwa kuelewa na kuhisi huyu mwanamke ni malaya aliyekubuhu yaani hata haoni aibu sasa je kuna haja ya kumtolea mahari na nina mpango wa kumpiga chini akaolewe na malaya wenzake huko.
Kabisa mkuu π
Na hayamo si unaona jamaa issue yenyewe ndogo tu hiyo kaja kulalamika huku utadhani kaombwa kutoa figo [emoji23]Anataka kuhakikisha kama yaliyomo yamo
Fala mkubwa wewe.Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono