Mchumba ananilazinisha tufanye ngono kabla ya ndoa mie nimemkatalia

Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono

Yaani mwanamke ameniambia kama hatutafanya ngono amesema tuachane sasa nimeshindwa kuelewa na kuhisi huyu mwanamke ni malaya aliyekubuhu yaani hata haoni aibu sasa je kuna haja ya kumtolea mahari na nina mpango wa kumpiga chini akaolewe na malaya wenzake huko.
Kuna dawa nyingi unakuwa sawa mbona
 
Take care. kuna mimba inalazimishiwa mtu
 
Back
Top Bottom