Mchumba anatoa mashuzi mno!

Akikisha kabla ya kulala awe anajisaidia haja kubwa kupunguza gesi tumboni pia muwe mnawasha feni na kujifunika mashuka tofauti
 
Jaribu kumchunguza kama anafanya hyo michezo au ni ugonjwa..
Ila kujamba pia ni afya.
 
Mkuu too much ukitoka nje ukirudi ndani ushuzi ukikaa hujakaa sawa ushuzi...umeinama uvunguni kidgo uvute kitu ukiinuka ushuzi...khaa nkajisemea Hapana huyu mtu sio bure mwache aende tu....
dah, we dada umenichekesha sana aisee!!
 
shukrani sn
 
ahsante
 

Ongea naye kwa upole huenda ana tatizo tumboni, kuna binti mmoja kizungu alikuwa na tatizo hilo, yeye alikuwa anapiga 24hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…