Mchumba anatoa mashuzi mno!

Mchumba anatoa mashuzi mno!

Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
Sioni kama hili ni tatizo. Mpe uhuru apumue anavyotaka, akijibana itamletea shida.
 
Nonsense,ungekuwa na akili timamu ungemsadiai walau mchumba wako kumuondolea iyo hali ya tumbo kujaa gesi just ungegugo tu suluhisho la tumbo kujaa gesi na si kumzalilisha uku.
 
unafikiri kugoogle ni suluhisho la kila kitu?!!!! kwanini kuna majukwaa kama haya basi ikiwa watu wanaweza kumaliza yao huko google tu na unajuaje kama sijapita huko? natafuta faraja, experience n.k kutoka kwa wadau humu!
 
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!

Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga kwa vistori vya hapa na pale kwa matumaini labda tatizo litaisha, lakini mkimaliza maongezi na akilala tu kazi inaanza tena hadi asubuhi.

Hili jambo linanikera kiukweli na imefikia mpaka vimaswali fulani vya kishetani visivyo vyema vinanijia kuhusu historia yake (waungwana mtakuwa mmenielewa hapa).

Naombeni ushauri wadau maana sioni kama ni sahihi kukwazana na hata kufika mbali kwa sababu yenye aibu km hii.

ANGALIZO: mi ni me na huyo mchumba ni KE
Unalalaje na mchumba badala ya mke?hayo ndo madhara yamekukuta
 
Mkuu ushauri wangu kama umeridhia kuwa naye jaribu wakati wa kula hasa jioni kuchagua mlo kamili na kula kidogo tu. Hii itasaidia kupunguza hili tatizo lakini pia hata ushuzi kutonuka kama ukijishindilia wali maharage tu.
 
hata wewe utakuwa unatoa mashuzi tena na kaharufu fulani amazing mpaka mbu wanakufa.muulize atakuambia mimi aliniambia jana
 
Asile vyakula vya gesi,anywe maji mengi na awe anakula kidogo tu mchane live
 
Maji hayakati ushuzi kiongozi asikudanganye mtu

asijishindilie mamisos,
Akinywa maji na kula mboga za majani atapata choo kilain ,nadhan atakuwa hapati choo ndio maana anajamba hovyo
 
Anywe maji yakutosha, mboga za majani na mazoezi yatasaidia

Alafu ngoja hayo mashuzi ni ya sauti au si ya sauti?

Je yakitoka anajigeuza au anakuwa kalala vile vile Mkuu?
 
Jambo waweza ona dogo kumbe kubwa. Kama wa mpenda ni tatizo dogo kwani huo ni ugonjwa nenda kanisani ikishindikana tiba. Kama angelipatwa tatizo mpo kwenye ndoa ungemwacha?
 
du, mpaka naogopa kujibu maswali mengine sasa kwa kuakisi angalizo walilonipa wadau wengine kuwa itakuwa kama namdhalilisha wakati kiuhalisia si lengo hata kidogo!
 
Jambo waweza ona dogo kumbe kubwa. Kama wa mpenda ni tatizo dogo kwani huo ni ugonjwa nenda kanisani ikishindikana tiba. Kama angelipatwa tatizo mpo kwenye ndoa ungemwacha?
ukitaka kusemaje mkuu ikiwa hajigeuzi na wala hastuki?
 
Back
Top Bottom