Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Hebu tafuteni hela huko maana tunazisubiri.
 
Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
Kwanza kabisa neno si mahali ni mahari pili ikiwa hukutowa mahari huyo hawi mchumba wako.

Mchumba wako anakuwa pale unapopeleka mhari kwao kumposa! Ukiwa na mwanamke mke tu hata kama unaishi nae huyu ni girlfriend/mwanamke wako tu!
 
Kwa hiyo unatowa uchi kwa sababu ya pesa? Kwani mkifanya mapenzi huwa nyie hampati raha yeyote ile? Sasa kama mnapata raha nyote wawili, nyote mnatoa uchi zenu kwa nini boyfriend wako tu ndio atowe pesa? si na wewe utowe nusu? 😉
Mwanamke ndio mwenye uchi
Nyie Ndio mna shida sie hatuna shida na vibamia vyenu 🤪
 
Back
Top Bottom