Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Wewe umeshindwa kutofautisha love na sex wewe upo kundi la watu wanaotafuta sex jambo ambalo ni rahisi kupata kwa kila mwanaume

Mimi kikubwa hoja yangu hapa nachozungumzia kumpata mwenza wa maisha na nimehitimisha kwa kusema kipindi cha uchumba ni vizuri kumpima mwanamke waukweli kwakuacha kumuhudumia mwanamke

Kuna muda wanaume huwa tunakutana na wanawake ni sahihi Yani wife material utakuwa na lengo lakumuoa lakini shida wengi wanakosa misimamo sababu unavyozidi kumuhudumia mchumba ndio unavyozidi kumjengea confidence unampandisha thamani atazidi kujiona yeye ni bora zaidi na anaweza kumpata mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi yako
Ni kweli nilikuwa na demu aliniomba pesa nikamwambia sina kwaiyo siku mpa pesa kama mara mbili hivi na yeye akashindwa kunivumilia akaniacha na mimi nikafurahi nikajisdmea kama nimekosa pesa ya kumpa ndani ya mwezi mmoja kashindwa kunivumilia sasa nikimuoa na nikija kukosa pesa si itakuwa baraa ndani ya nyumba

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unajua gharama za kumuhudumia mchumba ukiishinae piga hesabu kwa mwaka mmoja pesa ni nyingi Sana inapotea wewe hauna uhalali wakummiliki mwanamke ambaye sio mke yupo huru muda wowote kuvunja mahusiano wala hakuna sehemu utaenda kumshtaki wala kulalamika
Mkuu bora mchumba unayeishi naye kuliko kuhudumia mchumba anayeishi kwake anataka umlipie kodo, mavazi chakula na vocha

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
... Mahari... Si mahali
 
Kwa mfano mchumba wako akikuomba hela ya salon utamwambiaje?
Kama anayo atampa,na wewe Mchumba wako akikuomba pesa ya kodi ya nyumba, Mtoto wa dada yake ana umwa inaitajika elf 50, Mchumba wako yupo kwao na kwao ujulikani Ndugu yake ana kupigia simu utume pesa ya matibabu je wewe utamwambiaje?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kwakifup hakuna mwanamke atakupa uchi bila pesa.Hata kma atakataa mwanzon ila jua tu ni kama amewekeza na siki akitaka fahamu utatoa pamoja na interest rate flani.
Hivyo mwanaume jua unachosimamia.

Mfano hai.

Huyu manzi niko nae recently (mke wa mtu ila ana migogoro yao ya ndoa, mme wake hasimamishi) nilimla mara ya kwanza hii ni baada ya yeye kukaa bila kuliwa kwa miezi 11 sababu hio hapo jui.
Kwakua alikua na ukame nikamkata wote basi alifurahi sana na HAKUDAI PESA LICHA YA MIMI KUMPA AKAKATAA katakata.
Alikua anatoka Makambako anakuja Iringa town kufuata mzigo.

Mara ya pili nikamla mzigo tena kama masaa 6 hivi kesho akarud kwao nikampa hela tena akakataa basi nikaomba nilmkatie tu ticket ya kurud kwake.

Nikarud zangu dar kuendelea na maisha .Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.

Nikampa tu ushaur aende akazungumze na mkuu wa shule ataeleweka.Kwel akakubaliwa ila naona mazungumzo ya INVOICE YA 600K hayakauki.Nikaanza kujitoa taratibu.

Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70[emoji23][emoji23][emoji23] .

NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.

Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
He anakataa Hela[emoji38][emoji38][emoji38]bonge la pretender huyooo
 
Kwani baba wa huyo mtoto ni hana hela au ni hasimamishi?
Ahahahah...ofcz i came to learn about them na ni stori ndefu sanaaa ikihusisha pia mambo ya kishirikina humo humo ila elewa tu mambo ya ndoa ni magum sana sema ndio hivyo mi nikajionra yu hayanihusu.
 
Usipomhudumia atahudumiwa na kidume kingine tu hakuna shida
 
Back
Top Bottom